Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hata Mimi nashangaa sana, hivi sisi Wakuu wa Shule hatuwezi shika hizo nyadhifa? Mbona majengo Yao tunasimamia Kwa uadilifu na ubora sana? Sasa anachoshindwa kutupa vyeo Nini?Rais apunguze kuteua watu wasio na sifa wala uzoefu wowote wa utumishi wa umma, wengi wao wanamtia aibu tu kwa kuwa hawajui hata msingi wa majukumu yao.
Bora ateue hata walimu wakuu, watendaji n.k naamini hawatamwangusha kama haya majitu yanayopewa kazi kwa misingi ya uchawa!
hahaha asante sana ndugu una moyo wakizalendo sanaNaacha nafasi ili na wewe uweke namba yako ndugu yangu mtanzania.kwani wewe hutaki namba yako waisevu?
Wakachape kaziHongera kwa waliopata teuzi.
Bora aniteue mimi AlP0L0Rais apunguze kuteua watu wasio na sifa wala uzoefu wowote wa utumishi wa umma, wengi wao wanamtia aibu tu kwa kuwa hawajui hata msingi wa majukumu yao.
Bora ateue hata walimu wakuu, watendaji n.k naamini hawatamwangusha kama haya majitu yanayopewa kazi kwa misingi ya uchawa!
Ukuu wa shule nayo ni nafasi nzuri na unaweza kufanya makubwa kabisaYaani hata Mimi nashangaa sana, hivi sisi Wakuu wa Shule hatuwezi shika hizo nyadhifa? Mbona majengo Yao tunasimamia Kwa uadilifu na ubora sana? Sasa anachoshindwa kutupa vyeo Nini?
Acha kuota ndoto za mchanaKafulila byebye
Ndio maana ya uongozi ni dhamana.Hizi nafasi za kulamba asali sio poa kumbe, muda wote tumbo joto ndio maana wajomba wengi wanakimbilia mjengoni kwenye ubunge.
Kabisa yani inatakiwa utulize akili sana kwa nyakati hizi.Ndio maana ya uongozi ni dhamana.
Mkataba wa kuuza Bahari,KIA,Madini,Misitu & Ardhi ya Ngorongoro warasimu wa Ikulu walushindwa kuitetea.Samia anapasafisha sana Ikulu.
Kulikoni?
TATA Kyagata mbona unamsimanga jamaa tena ?Wewe mbona huteuliwi?huna shule kichwani au?
Umeona hicho kitu eeeh!Watu wanaondelewa ikulu kwa kasi! Ukinusa tu haupo.
Inahitajika kutambua kuwa uongoz ni utumishi kwa watu.Kabisa yani inatakiwa utulize akili sana kwa nyakati hizi.
Hili ni tatizo kubwa kabisa la watanzania wengi. Hakuna umakini kwenye kuandika hata mambo ya maana. Huko huko ikulu kuna vilaza wakubwa na ukionyeshwa wanavyoandika maneno rahisi kabisa ya kiswahili utakataa kuwa ni afisa wa ikulu.Barua ya page 2 tu makosa, mkataba je utakuwaje sasa?