Uteuzi Juni 15, 2024: Mobhare Matinyi, aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali apangiwa majukumu mengine, nafasi yake yachukuliwa na Thobias Makoba

Uteuzi Juni 15, 2024: Mobhare Matinyi, aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali apangiwa majukumu mengine, nafasi yake yachukuliwa na Thobias Makoba

Rais apunguze kuteua watu wasio na sifa wala uzoefu wowote wa utumishi wa umma, wengi wao wanamtia aibu tu kwa kuwa hawajui hata msingi wa majukumu yao.

Bora ateue hata walimu wakuu, watendaji n.k naamini hawatamwangusha kama haya majitu yanayopewa kazi kwa misingi ya uchawa!
Yaani hata Mimi nashangaa sana, hivi sisi Wakuu wa Shule hatuwezi shika hizo nyadhifa? Mbona majengo Yao tunasimamia Kwa uadilifu na ubora sana? Sasa anachoshindwa kutupa vyeo Nini?
 
Rais apunguze kuteua watu wasio na sifa wala uzoefu wowote wa utumishi wa umma, wengi wao wanamtia aibu tu kwa kuwa hawajui hata msingi wa majukumu yao.

Bora ateue hata walimu wakuu, watendaji n.k naamini hawatamwangusha kama haya majitu yanayopewa kazi kwa misingi ya uchawa!
Bora aniteue mimi AlP0L0
 
Watu wanaondelewa ikulu kwa kasi! Ukinusa tu haupo.
Umeona hicho kitu eeeh!
Mwanzoni nihisi huenda ni hisia zangu kumbe ni kitu halisi.
Ikulu inasafishwa kwa kasi ya ajabu kuondoa wakuda wote.

Msingi wa teuzi hizi zote za hivi karibuni huenda umesukumwa na mlengo wa kuondoa 'Watu hatari' ndani ya Ikulu waliokuwa na access to very deep information (Classified) ambazo zimekuwa leaked mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom