Uteuzi Juni 15, 2024: Mobhare Matinyi, aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali apangiwa majukumu mengine, nafasi yake yachukuliwa na Thobias Makoba

na wew vip mwamba wetu wew umeamua kuwa msemaji wa kujitegemea au kuna namna musuri wateuzi wanakucheki?
 
Mkataba wa kuuza Bahari,KIA,Madini,Misitu & Ardhi ya Ngorongoro warasimu wa Ikulu walushindwa kuitetea.
Pia inaonekana kuna siri za ndani zimevuja zikamshtua mhusika. Chunga sana habari alizoandika Mange hivi karibuni. Ziliitikisa ikulu na kinachofanyika sasa naona kuondoa wote ambao ana wasiwasi nao hata iwe kidogo namna gani.
 
Hatar
 
"Kikuu kikuu cha Dodoma". Humu JF wenye degree wanaitwa wa ovyo wakikosea tu kuandika. Haya hao hapo sasa wana degree na uzoefu kama wote tena ofisi ya rais. Na ametia na muhuri kabisa....Inasikitisha.
Sio hiyo tu kuna sehemu kaandika MSTAAFU alafu sehem nyingine kaandika MSTAFU.
 
Playing chess need a competent head,never out shine your master n adhore the rules once you enter the house you suppose to remove your shoes.

Mwalimu na Mwanafunzi wake are in a serious war now the last emperor vs the lord rings who will conquer the Throne?

Let wait n see
DS vs DDSπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…