kalemauji
JF-Expert Member
- Jun 24, 2014
- 1,552
- 1,661
Ni kweli kabisa aisee, ukileta masihara kama ya RC Nawanda Mkulu anapita na wewe.Inahitajika kutambua kuwa uongoz ni utumishi kwa watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa aisee, ukileta masihara kama ya RC Nawanda Mkulu anapita na wewe.Inahitajika kutambua kuwa uongoz ni utumishi kwa watu.
Rais Samia akikupatia kazi na ukaharibu ,anakuondoa haraka sana ofisini hata kama umekaa wiki moja tu ofisini.Ni kweli kabisa aisee, ukileta masihara kama ya RC Nawanda Mkulu anapita na wewe.
na wew vip mwamba wetu wew umeamua kuwa msemaji wa kujitegemea au kuna namna musuri wateuzi wanakucheki?Ndugu zangu Watanzania,
Habari ndio hiyo wenye kupata wamepata na wenye kuhamishwa wamehamishwa.
Ila tu fahamu ya kuwa msemaji wa serikali wa sasa ameondolewa kwenye nafasi yake na atapangiwa kazi nyingine.
Kazi iendelee mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti
Lucas Hebel Mwashambwa.mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa piliView attachment 3018202View attachment 3018205
Pia inaonekana kuna siri za ndani zimevuja zikamshtua mhusika. Chunga sana habari alizoandika Mange hivi karibuni. Ziliitikisa ikulu na kinachofanyika sasa naona kuondoa wote ambao ana wasiwasi nao hata iwe kidogo namna gani.Mkataba wa kuuza Bahari,KIA,Madini,Misitu & Ardhi ya Ngorongoro warasimu wa Ikulu walushindwa kuitetea.
Ni vigumu kuelewa uongozi wa awamu hii unalenga nini hasa!Kafulila chali!
Sote hatuwezi kuwa viongozi.na wew vip mwamba wetu wew umeamua kuwa msemaji wa kujitegemea au kuna namna musuri wateuzi wanakucheki?
Unalenga kuboresha ufanisi kazini.Ni vigumu kuelewa uongozi wa awamu hii unalenga nini hasa!
Kila siku ni kuteua?
Walengwa ni hao walioondolewa Ikulu na wanaoingia Ikulu.
Sikiliza. Sitaki kuanza tena na wewe. Huu uchizi wako umezidi mno.Unalenga kuboresha ufanisi kazini.
HatarUmeona hicho kitu eeeh!
Mwanzoni nihisi huenda ni hisia zangu kumbe ni kitu halisi.
Ikulu inasafishwa kwa kasi ya ajabu kuondoa wakuda wote.
Msingi wa teuzi hizi zote za hivi karibuni huenda umesukumwa na mlengo wa kuondoa 'Watu hatari' ndani ya Ikulu waliokuwa na access to very deep information (Classified) ambazo zimekuwa leaked mara kwa mara.
Sio hiyo tu kuna sehemu kaandika MSTAAFU alafu sehem nyingine kaandika MSTAFU."Kikuu kikuu cha Dodoma". Humu JF wenye degree wanaitwa wa ovyo wakikosea tu kuandika. Haya hao hapo sasa wana degree na uzoefu kama wote tena ofisi ya rais. Na ametia na muhuri kabisa....Inasikitisha.
Acha ujinga wako hapa .Sikiliza. Sitaki kuanza tena na wewe. Huu uchizi wako umezidi mno.
Naona ni kama wewe na huyo mteuzi wa kila siku nyote ni machizi tu.
Ni kama unaoga nje muda wowote unakutwa😆😆😆😆 Hii mivyeo ya kuteuliwa hii! inadhalilisha sana!
EEEEeeenHEEEeeeeee!Walioteuliwa wa-bubujikwa na machoz watetemeka na kurukaruka huku wakigaragara.