evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Kabisa huyu maza atakuwa anauoga flani haiingii akilini au huyu maza anaendesha serikali kwa chuki na visasiWatu wanaondelewa ikulu kwa kasi! Ukinusa tu haupo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa huyu maza atakuwa anauoga flani haiingii akilini au huyu maza anaendesha serikali kwa chuki na visasiWatu wanaondelewa ikulu kwa kasi! Ukinusa tu haupo.
Acha kusifiasifia kipumbavu we chaliiNdugu zangu Watanzania,
Habari ndio hiyo wenye kupata wamepata na wenye kuhamishwa wamehamishwa.
Ila tu fahamu ya kuwa msemaji wa serikali wa sasa ameondolewa kwenye nafasi yake na atapangiwa kazi nyingine.
Kazi iendelee mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti
Lucas Hebel Mwashambwa.mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa piliView attachment 3018202View attachment 3018205
Mbona Ikulu imesafishwa, kulikoni?View attachment 3018303
Rais Samia Suluhu Hassan
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa ni kama ifuatavyo:
i Amemteua Balozi Dkt. John Stephen Simbachawene kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda na Biashara. Kabla ya uteuzi, Balozi Dkt. Simbachawene alikuwa Afisa Mwandamizi, Ofisi ya Rais - Ikulu.
ii. Amemteua Bw. Nkoba Eliezer Mabula kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii anayeshughulikia utalii. Kabla ya uteuzi, Bw. Mabula alikuwa Afisa Mwandamizi, Ofisi ya Rais - Ikulu.
Aidha, CP. Benedict Wakulyamba atakuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii anayeshughulikia maliasili.
iii. Amemteua Dkt. Habib Gallus Kambanga kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi, Dkt. Kambanga alikuwa Afisa Mwandamizi, Ofisi ya Rais - Ikulu.
iv. Amemteua Bw. Thobias Makoba kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali. Kabla ya uteuzi, Bw. Makoba alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Ofisi ya Msajili wa Hazina.
Bw. Makoba anachukua nafasi ya Bw. Mabhare Matinyi ambaye amepangiwa majukumu mengine.
V. Amemteua Bw. Ally Rajab Mketo kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Bukombe. Kabla ya uteuzi, Bw. Mketo alikuwa Afisa Tawala Mwandamizi, Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bukombe. Bw. Mketo anachukua nafasi ya Bw. Onesmo Kisoka ambaye amestaafu.
vi. Amemteua Jaji Dkt. Mary Caroline Levira kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto. Jaji Dkt. Levira ni Jaji wa Mahakama ya Rufani. Jaji Dkt. Levira anachukua nafasi ya Jaji Dkt. Gerald Ndika ambaye amemaliza muda wake.
vii. Amemteua Dkt. Leonard Douglas Akwilapo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA). Dkt. Akwilapo ni Katibu Mkuu Mstaafu na Mhadhiri Mwandamizi, Kikuu Kikuu cha Dodoma. Dkt. Akwilapo anachukua nafasi ya Prof. Maurice Mbago ambaye amemaliza muda wake. Amemteua Dkt. Noel Eusebius Mbonde kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Utawala.
viii. ya Chuo cha Ufundi Arusha. Dkt. Mbonde ni Mkurugenzi Mstafu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
Wananchi tutampangia huyo mama Yako majukumu mengine mnamo 2025.Ndugu zangu Watanzania,
Habari ndio hiyo wenye kupata wamepata na wenye kuhamishwa wamehamishwa.
Ila tu fahamu ya kuwa msemaji wa serikali wa sasa ameondolewa kwenye nafasi yake na atapangiwa kazi nyingine.
Kazi iendelee mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti
Lucas Hebel Mwashambwa.mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa piliView attachment 3018202View attachment 3018205
Kwa hii katiba ya hovyo maendeleo tusahauNaunga mkono
Cha kushangaza waliondolewa wengi wanatoka jirani na DSTV, ikulu kuna nini kinaendelea?
Lengo nafasi zibaki wazi wazanzibar waingie wa kutoshaMbona Ikulu imesafishwa, kulikoni?
Kabisa mkuu.Kwa hii katiba ya hovyo maendeleo tusahau
Hawatakubali lakini inabidi tuwalazimishe nchi siyo mali ya CCM ni mali ya watanzaniaKabisa mkuu.
Kwa mfano yule aliyepelekwa kisarawe alikuwa lumumba baadae jumba jeupe kabla fagio la juzi.
Mtu wa mfumo ana kadi ya chama pendwa na wanajua katiba mpya ndio mwisho wa hizi sarakasi zao, unahisi mkuu watakubali?
Kabisa mkuuHawatakubali lakini inabidi tuwalazimishe nchi siyo mali ya CCM ni mali ya watanzania
Ni kupambana na haya majangili ya mali za ummaKabisa mkuu
Naona Siwa Kapumzishwa rasmi...Makao ya Eagle imepatwa na nini kulikoni? DG Balozi Siwa huwenda ikawa Redflag kwake...
Una uhakika na hilo uliloandika? Au umesimuliwa tuu!!!Huyo Dr Akwilapo ndiye aliyemtengenezea Magufuli PhD ya Chemistry pale Mlimani wakati huo tukiwa pale naona bado anaendelea kula fadhila, na atakuwa keshasahau organic chemistry yote.