UTEUZI: Latifa Mohamed Khamisi ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu TANTRADE

Ninegundua wakristu wana udini na dhihaka zaidi Kwa waislamu kuliko the other way round

watanzania wenzangu, maichukulie Poa sana hizi sentiments za udini

Na mitandao ya jamii ndio kinara wa hizi propaganda
Haya mara nyingi yanatokea pindi hali ya wananchi mifukoni iko hoi bin taabani. Binadamu wakiwa na masononeko kila ateuliwaye watatafuta neno tu kupunguza machungu yao. Swala hata siyo udini ni mtaani hali mbaya. Mambo yangekuwa afadhali mtaani sidhani watu wangepata muda wa ku discuss uteuzi.
 
Sasa hivi kila uteuzi lazima ateuliwe mtu wa mwemberadu au kiembesamaki hivi hizi office wanazoteuliwa zote ni za Muungano ?
 
Tz utaiweza kweli kwa udini na ukabila, kumbuka enzi za mwendakuzimu, ilikuwa ni kanda ya ziwa tu.
 
Nashauri na makao makuu ya Tz yawe kule visiwani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuacheni Unafiki hata Sisi Wakristo ( hasa Wakatoliki ) wakati wa Hayati Rais Dkt. Magufuli tuliula mno tu hivyo tuwe Wapole kwani Kutesa huwa ni kwa zamu.
Sisi ama wewe?
Ukute hujanufaika chochote halafu unasema sisi
 
Kufa jiue, mna chuki Sana na uislamu nyie makafiri, mnataka mteuliwe nyie tu,washenzi wakubwa, na mnamchukia Rais sababu ya dini yake dog type nyie

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Sasa hivi kila uteuzi lazima ateuliwe mtu wa mwemberadu au kiembesamaki hivi hizi office wanazoteuliwa zote ni za Muungano ?
Watanganyika nchi yetu inaporwa hivihivi kwa faida ndogo ya kiusalama inayotufanya tuungane na wazenji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…