JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
Haya mara nyingi yanatokea pindi hali ya wananchi mifukoni iko hoi bin taabani. Binadamu wakiwa na masononeko kila ateuliwaye watatafuta neno tu kupunguza machungu yao. Swala hata siyo udini ni mtaani hali mbaya. Mambo yangekuwa afadhali mtaani sidhani watu wangepata muda wa ku discuss uteuzi.Ninegundua wakristu wana udini na dhihaka zaidi Kwa waislamu kuliko the other way round
watanzania wenzangu, maichukulie Poa sana hizi sentiments za udini
Na mitandao ya jamii ndio kinara wa hizi propaganda