Umenena unaona yaliyo mpata Makonda na unaona kwa SilaaDoroth Gwajima angekaa hiyoo wizara ya afya, sema mama muoga wa kugawana sifa. Hatakiwi mtu wa kupata sifaa zaidi yake.
Hasa yule wa jimbo la Kigamboni Dr Faustine...Heee Mwigulu kabaki??
Kweli Mganga wake mkali sana. Ila hapo kwenye Afya Mama Abdul amepuyanga bora angemleta tu Gwajima pachangamke.
Nimekua nao na kucheza Nao mitaa ya tabata magengeniHawa watoto wa Posi wanambeleko kubwa sana ingawa wapo vizuri upstairs pia Abdalla na Ally, Pongezi kwao.
Muda bado upo mwingi sana, anaweza kupata tena, vita subira tu huku ukiendelea kumpigia debe kama unampenda sana.Yaan bora wangempa Gwajima Dorth
Huyo dogo matusi yake ninkosa LA kimalezi makuzi kazinda sana kijiwen hapo kawe.Huna Hoja wala haifai matusi kijana hujajifunza tu.
Huyo kichaa fike liko membeLucas Mwashambwa unakwenda wizara gani?
Nafikiri kuna shida mahali sio bure.Huyo dogo matusi yake ninkosa LA kimalezi makuzi kazinda sana kijiwen hapo kawe.
Anatumia mbinu za Magufuli.... Old tactics.Nafikiri kuna shida mahali sio bure.
Taratibu unabii lzm utimieTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi
Sasa unapiga kelele JF nani anakusikia,unakuwa kama makamanda uchwara wa CHADEMA nawewe,nenda barabarani kaandamane uone Cha moto,ni Virungu tuhHamtutoi kwenye reli kuhusu uharamia uliofanywa kwa viongozi wa CHADEMA.
It makes sense 🤔...na nimeanza kuelewa huu unabii ss.....tutaona mengiUmenena unaona yaliyo mpata Makonda na unaona kwa Silaa
Mama hapendi mtu awe frontpage zaidi yake
Lichunguzeni hili kwa umakini!!!
Kwakweli ,hebu sikiliza hapa labda uta connect kituNafikiri kuna shida mahali sio bure.
Yaani kumtoa kujibu, slaa noma,hakuna kitu sshv sijui itakuwajeMama hongera kwa kuteua. With due respect, mama yetu mpendwa sana UMRUDISHE LUKUVI ARDHI. KUMEPWAYA SANA.
Timu Magufuli ni Timu ya wananchi, ni Timu ya Tanzania ijayo ya haki.
Timu Mbowe na Makamba na Nape na Kinana ni Timu Mafisadi, Timu maslahi binafisi Timu wanafiki.
Hv we mmakonde ujaacha ujinga?!Sasa unapiga kelele JF nani anakusikia,unakuwa kama makamanda uchwara wa CHADEMA nawewe,nenda barabarani kaandamane uone Cha moto,ni Virungu tuh
Hii kawaida tu, si unaona wote anawasifia wanafanya kazi nzuri lakini anatengua. Aache woga aite mbwai mbwai. Wewe tumekuweka hapa hakuna ulichofanya ama umeharibu 1,2,3….Nilipoona tu Wiki iliyopita Rais anamsifia katika Ukumbi fulani nikajua kuna Bomu alishaliandaa na alikuwa Anamzuga tu Kinafiki na leo kamaliza Shughuli. Ogopa sana Rais akikusifia kwani huwa ni Kinyume chake.