Uteuzi: Mcha Hassan Mcha ateuliwa kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa TRA

Sioni usawa wowote naona kibibi cha kiarabu kikiteuwa “WAGUNYA”😄😀
 
Huyo jamaa alikuwa mtu mkubwa tu pale mambo ya nje. Nadhani alikuwa mkurugenzi. Sema Jiwe alimtoa na kumtelemsha. Sasa amerudi anakostahili kuwa.
 
Huyo jamaa alikuwa mtu mkubwa tu pale mambo ya nje. Nadhani alikuwa mkurugenzi. Sema Jiwe alimtoa na kumtelemsha. Sasa amerudi anakostahili kuwa.
Kama ni hivyo sawa Mkuu.

Maana kutoka Naibu Katibu Tawala tena Mkoani mpaka Vienna that was a BIG JUMP .....!!
 
Huyo jamaa alikuwa mtu mkubwa tu pale mambo ya nje. Nadhani alikuwa mkurugenzi. Sema Jiwe alimtoa na kumtelemsha. Sasa amerudi anakostahili kuwa.
Kama ni kweli usemayo inatia moyo, maana nchi yetu hii na tunaipenda . MaCCM Mambo ya Umagufuli na Usamia wapunguze. Hayajengi nchi yanaipasua.
 
Umeanza Desemba 5, 2021..?!

Samia Hassan amemteua Mcha Hassan
Mzazibara sio au mzazibari[emoji1]

Hii nchi MaCCM mliooifikisha siko kabisa kabisa.
Hii ndiyo nafasi yetu ya dhahabu tuliyoipata ya kuudumisha Muungano wetu. Muda si mrefu tutapata pia Ai Jii Pii Mzenj. Just wait and see.

Shiro si anakaribia kutundika daruga?
 
Hongera kwa Balozi Mushi, kichwa inafanya kazi sawasawa ile
 
Nani kakwambia katoka chini, soma link hii hapa chini kati ya nyingi; huyu ni master wa kitengo, hadhi ya Ubalozi anayo miaka nenda rudi, amepata kuwa Msaidizi wa Mkapa, Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kimataifa WMN na huko Mtwara alipelekwa kwa Mission Maalum

Zaidi msome hapa uache kukurupuka:

 
Je huyu ni mzanzibari? Mama anawapendelea tanganyika kwenye serikali ya muungano
 
Haya mawazo yako ni ya kizamani.

Kwa mfumo wa serikalini ukisema upande step by step itakuchukua miaka zaidi ya 30 kufika level za juu.

Kuwainua watu kutoka chini kutokana na utendaji kazi wao ndio jambo la msingi.
Na Mushy wala siyo mtu wa chini, ni Balozi tangu kitambo sana

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…