Uteuzi: Mcha Hassan Mcha ateuliwa kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa TRA

Uteuzi: Mcha Hassan Mcha ateuliwa kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa TRA

Maza kila akipata nafasi lazima ateua Ustaadh.

Yaani ukiangalia uteuzi wa mama ni kama anataka kufanya usawa wa kidini kwenye teuzi.

Akiteua boss muislamu basi msaidizi mkiristo, akiteua boss mkiristo basi msaidizi muislamu.

Hapo anamuandaa aje awe CG baada ya kidata kustaafu.

Hii ni mentality ya kipumbavu kabisa.
Ha ha ha,,, yaani kuteua kiusawa ni upumbavu?.
Binadamu kweli hawana jema , sada ulitaka ateue kina nani?... [emoji849][emoji849]
 
Hii ndiyo nafasi yetu ya dhahabu tuliyoipata ya kuudumisha Muungano wetu. Muda si mrefu tutapata pia Ai Jii Pii Mzenj. Just wait and see.

Shiro si anakaribia kutundika daruga?
Kwani kuna ubaya?, Afterall hatujawahi kuwa na IGP mzenj,,, siro akistaafu waweke mzenj tuone uchaguzi utarndaje safari hii huko zenj
 
Hapa katika kubalance dini ama ukabila hakuna awezaye kwa sie viumbe,kila mtu lazima ateue wa upande wake,Mungu mwenyewe anagawa riziki kwa waje lakini hapohapo waja wake haohao aliowaumba bado wanamuona anaubaguzi
Yeye mwenyewe si ana taifa teule au? [emoji851][emoji851]
 
Mushy ni balozi tangu kitambo sana

Balozi Celestine Mushi alikomolewa na kupewa kazi isiyomstahili kutokana na ukaribu wake na JK pamoja na Membe. Ama kweli aliye juu atashushwa, na aliye chini atapandishwa, muda tu ndio huamua.
 

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Mcha Hassan Mcha kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA)

Uteuzi wake umeanza Desemba 5, 2021 akichukua nafasi ya Msafiri Lameck Mbibo aliyeteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini

Vilevile, Balozi Celestine Joseph Mushy ameteuliwa na Rais Samia kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Austria.


Hongera sana Kamishna Mkuu Msaidizi .Nakumbuka ulivyo na busara hasa ulipoweza nisaidia changamoto nilipokuona ofisini kwako bila kujali udogo wangu kibiashara na ukubwa wako kicheo na umri uliinuks na kuniambia nikufate mpaka kwa ofisa wako na jumps maelekezo. Naamini nafasi hii unastahili kabida
 
Duh Comment za humu...

Kweli we are a divided nation
 
Ila huyo Mushy, yaani kutoka Katibu Tawala tena Masaidizi mpaka Balozi Austria ..... ameula kweli. Hata kama ni mtu wa kitengo, watu wanatakiwa kupanda juu step by step .... Hii ya kuwatoa from nowhere na kurusha juu ndiyo matokeo yake tunapata viongozi wa design za akina Makonda na Sabaya.
jamaa alishawahi kuwa mkuu wa Idara (director) mambo ya nje, inaonekana awamu iliyopita haikuwa ya bahati kwake, so now karudishwa.
 
Huyo jamaa alikuwa mtu mkubwa tu pale mambo ya nje. Nadhani alikuwa mkurugenzi. Sema Jiwe alimtoa na kumtelemsha. Sasa amerudi anakostahili kuwa.

Huyu jamaa alikuwa Director foreign affairs,jiwe alikuwa anawachukia sana watu kutoka kanda ileeeee.

Kitendo cha kumfanya asst RAS kilikuwa cha uonevu kama ilivyokuwa kawaida ya Mungu wa Chato.

Mama karekebisha nadhani Balozi Mulamula kahusika pakubwa kwasababu aliwahi kuhudumu mambo ya nje kama Katibu Mkuu.
 
Yule kichele wa jiwe aliyekuwa anawakomoa wafanyabiashara yupo wapi siku hizi
 
Ila huyo Mushy, yaani kutoka Katibu Tawala tena Masaidizi mpaka Balozi Austria ..... ameula kweli. Hata kama ni mtu wa kitengo, watu wanatakiwa kupanda juu step by step .... Hii ya kuwatoa from nowhere na kurusha juu ndiyo matokeo yake tunapata viongozi wa design za akina Makonda na Sabaya.
Ubalozi haulipi bwashee labda kama unataka watoto wakasome nje
 
Hata kama huyo, katibu tawala alikuwa kitengo.. mbona karushwa sana?
toka msaidizi wa RAS hadi Balozi?
Afu mangi wao hawahitaji teuzi Mana ni matajiri muda sanna kabla hata ya wakoloni walikuwa tayari na shule zao ujue wanasoma.
Saivi hawategemei serikali ya ccm kuwapa ulaji.
Jk anaenda uno kudai Uhuru wamangi wanamsaidia nauli na hotel ya kulala.hii nafasi Bora tungepewa wachunga ng'ombe jamani.
Ila Hawa jamaa ni level zingine.yaani Moshi ikijitenga tu inakuwa among of top three za G7.
Tena Wana Teknolojia ambayo mmarekani akasome
 
Balozi Celestine Mushi alikomolewa na kupewa kazi isiyomstahili kutokana na ukaribu wake na JK pamoja na Membe. Ama kweli aliye juu atashushwa, na aliye chini atapandishwa, muda tu ndio huamua.
Eti ndo alikabidhiwa kazi ya kunyang'anya wakulima korosho, Jiwe alikuwa pumbavu kweli yan
 
Ila sisi wabongo tuna roho mbaya sana ya ubaguzi.Kila anayeteuliwa kapendelewa.Tunaelekea wapi kama nchi? Acheni haya mambo hayana tija kwetu kama taifa.
 
Back
Top Bottom