dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
... usisahau "alidhalilishwa sana enzi za kale"; kumbuka (soma vizuri taarifa ya Ikulu) ni balozi aliyeshushwa hadi msaidizi wa RAS "enzi hizo" sasa karudishwa kwenye nafasi yake. So, kwa sasa "hajarushwa" kama unavyodai, bali alirushwa wakati ule kutoka Balozi hadi RAS Msaidizi. Liangalie na hilo pia.Hata kama huyo, katibu tawala alikuwa kitengo.. mbona karushwa sana?
toka msaidizi wa RAS hadi Balozi?