... usisahau "alidhalilishwa sana enzi za kale"; kumbuka (soma vizuri taarifa ya Ikulu) ni balozi aliyeshushwa hadi msaidizi wa RAS "enzi hizo" sasa karudishwa kwenye nafasi yake. So, kwa sasa "hajarushwa" kama unavyodai, bali alirushwa wakati ule kutoka Balozi hadi RAS Msaidizi. Liangalie na hilo pia.Hata kama huyo, katibu tawala alikuwa kitengo.. mbona karushwa sana?
toka msaidizi wa RAS hadi Balozi?
Da Mange lazima aliamshe leo leo😀Na kwa upande wa umbea - wanasema alikuwa anatembea na Hoyce Temu. Wakati yeye anakwenda Austria, Hoyce yuko Geneva. Ni mwendo mfupi tu kwa treni.
Na anatembeza bakora si mchezo, yan msela msela sanaNa kwa upande wa umbea - wanasema alikuwa anatembea na Hoyce Temu. Wakati yeye anakwenda Austria, Hoyce yuko Geneva. Ni mwendo mfupi tu kwa treni.
Tulikuwa nae hapo kwa miaka mingi, ni mmoja wa makamishna wa TRA. Uteuzi wake ni kawaida sana maana ni mtumishi wa mamlaka kwa miaka zaidi ya 25.Asalaam aleikumu TIARAEI
Speed ile ile 2005 to 2015
Wewe kama kitu hujui nyamaza,makamishna hawateuli na waziri wa fedhaWaziri wa fedha anafanya kazi gani au sheria inasemaje?
Sasa hivi kila uteuzi unakuta kobazi 6 mgalatia 1.Zamu ya akina Maduhu ilikwisha 17 March 2021. Sasa ni zamu ya akina Hassan. Kutesa kwa zamu!!
[emoji3][emoji3][emoji3]Sasa hivi kila uteuzi unakuta kobazi 6 mgalatia 1.
Afadhari WakristU hawamo.Mamza kila akipata nafasi lazima ateua Ustaadh.
Yaani ukiangalia uteuzi wa mama ni kama anataka kufanya usawa wa kidini kwenye teuzi.
Akiteua boss muislamu basi msaidizi mkiristo, akiteua boss mkiristo basi msaidizi muislamu.
Hii ni mentality ya kipumbavu kabisa.
MUADILIFU TOKA ZENJ
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Mcha Hassan Mcha kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA)
Uteuzi wake umeanza Desemba 5, 2021 akichukua nafasi ya Msafiri Lameck Mbibo aliyeteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini
Vilevile, Balozi Celestine Joseph Mushy ameteuliwa na Rais Samia kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Austria.
Ana leta udiniMaza kila akipata nafasi lazima ateua Ustaadh.
Yaani ukiangalia uteuzi wa mama ni kama anataka kufanya usawa wa kidini kwenye teuzi.
Akiteua boss muislamu basi msaidizi mkiristo, akiteua boss mkiristo basi msaidizi muislamu.
Hapo anamuandaa aje awe CG baada ya kidata kustaafu.
Hii ni mentality ya kipumbavu kabisa.
Mama ana balance vizuri bara na visiwani
Huyu
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Mcha Hassan Mcha kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA)
Uteuzi wake umeanza Desemba 5, 2021 akichukua nafasi ya Msafiri Lameck Mbibo aliyeteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini
Vilevile, Balozi Celestine Joseph Mushy ameteuliwa na Rais Samia kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Austria.
Huyu mama atavunja muungano sababu ya upendeleo wa Zanzibar na udini wake

Kuteua na Kuapisha ni kazi pia!Hivi hawa CCM kazi wanafanya lini? Kila siku teuzi
Hapa katika kubalance dini ama ukabila hakuna awezaye kwa sie viumbe,kila mtu lazima ateue wa upande wake,Mungu mwenyewe anagawa riziki kwa waje lakini hapohapo waja wake haohao aliowaumba bado wanamuona anaubaguziHuyu
Huyu mama atavunja muungano sababu ya upendeleo wa Zanzibar na udini wake
Hawa asalamaleko si ndio mnasema hawajasoma elmu dunia? Kwahiyo jamaa kachukuliwa kwa cheti cha madrasa?Asalaam aleikumu TIARAEI
Speed ile ile 2005 to 2015
Mnakomeshwa mbwa nyie, si mlisema wameishia madrasaSasa hivi kila uteuzi unakuta kobazi 6 mgalatia 1.
Hatutaki maneno ya kibaguzi au yanayoashiria ubaguzi Tz, please !!Maza kila akipata nafasi lazima ateua Ustaadh.
Yaani ukiangalia uteuzi wa mama ni kama anataka kufanya usawa wa kidini kwenye teuzi.
Akiteua boss muislamu basi msaidizi mkiristo, akiteua boss mkiristo basi msaidizi muislamu.
Hapo anamuandaa aje awe CG baada ya kidata kustaafu.
Hii ni mentality ya kipumbavu kabisa.
Hao Zanzibar si wana 'TRA' yao jamani mbona mama anazidi kutujazia wakojani?