UTEUZI: Mustafa Hamisi Umande ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Chai

Hii kuadvertise udini nahisi ni moja ya mbinu za wale watu kutaka kutimiza malengo yao. Ambacho wanatakiwa kukifaham ni kuwa wao wanatisha zaidi kwa kauri zao za visasi na kuumiza watu. Hivyo mama anabakia kuwa ndilo tumaini pekee.
 
Hizi bodi haziwezi kuungwa ikawa moja!!?? Mara mkonge bodi, tumbaku bodi, pamba bodi, chai bodi, kahawa bodi ... Haziwezi kuungwa ikawa bodi moja ya mazao ya kimkakati ikaisha !!??

Huwa zina maslahi sana. Usiseme hadharani. Watakupiga watakaokosa ulaji
 
Huyu Mwenyekiti ahakikishe MNADA wa Chai unakuja Tanzania...wakulima wa Chai tunataka kuona tija ikiwemo bei nzuri ya majani ya chai kwa sasa bei ya majani mabichi iko chini sana sababu ya gharama kubwa za usafirishaji TZ kwenda MOMBASA then nje.

Mnada wa Chai uletwe Tanzania na sio CHAI yetu yote tuuzie Kenya tunawanufaisha wakenya na ku-export ajira badala ya kutengeneza ajira.

Mheshimiwa Rais tunaomba huyu Mwenyekiti awekewe lengo kuhakikisha chai mnada wake unakuwa hapa nchini ili tupate tija.

Haya ndio maandishi yenye mashiko. Hongera sana kwa kuwa objective.
Wengine wanajadili rangi, sura, kabila na hata dini yake as if wao hawana vigezo kama hivyo 🤣🤣🤣🤣
 
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mustafa Hamisi Umande kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Chai Tanzania

Anachukua nafasi ya Mhandisi Steven Mlote aliyemaliza muda wake. Uteuzi wake umeanza Oktoba 08, 2021

Kata mtini panda mtende!!! Hiyo ndiyo sera ya maza!!!? Wenye akili zao walishajua siku nyingi ila hakuna athari yoyote ! Mtende mwenzio hakupi ziada yoyote na mtini haukuathiri lolote!! Cha maana chapa kazi, achana na kulia lia!! Japo ukweli huu hautoi uhalali wa kuendelea kukata mitini na kupanda mitende!! Mitende na mitini yote inahitajika!! Kazi tuiendeleze (siyo iendelee)!!!
 
Kuna watu wanajifanya wasomi,, wakati hata simple task kuongea ung'eng'e inawatoa kamasi,, kuna waziri wa elimu wa Madagascar, yaani huyo mama eti ana PHD alafu anaongea broken English,, ha ha ha... [emoji23][emoji23]
Mh! Madagascar si ni Franc-phone,

Angekua ni zao la nchi za Common wealth hapo sawa.
 
Hizi bodi haziwezi kuungwa ikawa moja!!?? Mara mkonge bodi, tumbaku bodi, pamba bodi, chai bodi, kahawa bodi ... Haziwezi kuungwa ikawa bodi moja ya mazao ya kimkakati ikaisha !!??
Umesahau bodi ya maziwa

Ova
 
Huyu Mwenyekiti ahakikishe MNADA wa Chai unakuja Tanzania...wakulima wa Chai tunataka kuona tija ikiwemo bei nzuri ya majani ya chai kwa sasa bei ya majani mabichi iko chini sana sababu ya gharama kubwa za usafirishaji TZ kwenda MOMBASA then nje.

Mnada wa Chai uletwe Tanzania na sio CHAI yetu yote tuuzie Kenya tunawanufaisha wakenya na ku-export ajira badala ya kutengeneza ajira.

Mheshimiwa Rais tunaomba huyu Mwenyekiti awekewe lengo kuhakikisha chai mnada wake unakuwa hapa nchini ili tupate tija.
Hii kitu ni muhimu sana, waziri wa kilimo inabidi aelimishwe hii ya minada ije Tanzania, naibu wake Bashe anaingilika jaribuni kumpa issue yule jamaa namwamini anajitambua atairekebisha, hao wa bodi ni siasa tuu labda awe makini sana
 
zamu yenu kulia. pole sana. kumbe na sisi wa madrasa tulikuwa na wasomi ila walikuwa hawaonekani. umesahau mawaziri na manaibu tulikuwa kama 4 kama sijakosea, ila kwenu mawaziri walikua zaidi ya 30.
Kumbe mnahesabu, acheni udini jamani mwisho wake sio mzuri, ukabila na udini ni sumu mtateketea wote hakuna atakayepona
 
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mustafa Hamisi Umande kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Chai Tanzania

Anachukua nafasi ya Mhandisi Steven Mlote aliyemaliza muda wake. Uteuzi wake umeanza Oktoba 08, 2021

Zao la chai hupenda umande na chai bora ni ile inayovunwa alfajiri kabla umande haujakauka, ndiyo sababu wavunaji huvaa aproni za plastiki kuzuia umande kwenye nguo zao.
Kila jina hupangwa.
Magari alikuwa mwenyekiti wa wamiliki daladala.
Kengele alikuwa mwenyekiti wa waendesha baisikeli.
Mpango waziri wa Mipango.
 
Zikiungwa zote itakuwa ni treni
Hapana .. Angalia majukumu ya kila bodi ni mtambuka .. Yote. Yanaingiliana ..kinachotofautiana ni msimu tu ... Hata bei zinapangwa kwa muundo mmoja , mjengeko wa being, shuru na tozo zote ni range ya price 2-3% of the price ... Kwa mazao yote .. Halmashauri strong zinavuta 4-5% of the price ... Afisa Mwandamizi nakwambia ... Means Nina miaka si pungufu13 kazini ... Kwa sasa Rasimu ni kuunganisha Korosho,Pamba,tumbaku na kahawa.
 
Hivi bado tuna uchumi wa kupangiwa bei na halmashauri na bodi za kisiasa, nilifikiri tuko tayari kwenye supply & demand ndio inaamua bei, tuna safari ndefu sana
 
Tunachallenge mifumo lakini ...kuna mizizi ni kazi sana .. Na hawa praise band .. Ni shida .. Nimekuwa tume 4 tofauti ... Nashangaa Mwigulu MTU ambaye tupo naye doctrine moja .. Amekuwa poyoyo ... Katika sehemu anayosimamia kama Waziri wa Fedha anajua kabisa Monetary Economy ndio inaongoza nchi before all economies .... Nkimuangalia hivi nawakumbuka USWAHILINI MATOLA ..Tumbo njaa kazi yake.
 
Endelea kujitahidi hata ukifanikiwa 1% ya juhudi zako itasaidia sana
 
Huyu Mwenyekiti ahakikishe MNADA wa Chai unakuja Tanzania...wakulima wa Chai tunataka kuona tija ikiwemo bei nzuri ya majani ya chai kwa sasa bei ya majani mabichi iko chini sana sababu ya gharama kubwa za usafirishaji TZ kwenda MOMBASA then nje.

Mnada wa Chai uletwe Tanzania na sio CHAI yetu yote tuuzie Kenya tunawanufaisha wakenya na ku-export ajira badala ya kutengeneza ajira.

Mheshimiwa Rais tunaomba huyu Mwenyekiti awekewe lengo kuhakikisha chai mnada wake unakuwa hapa nchini ili tupate tija.
Nadhani hili linakaribia kutekelezwa kama halijatelekezwa. Nimekuwa nikimsikia Naibu Waziri wa Kilimo, Bw. Bashe akilisema hili kwamba mnada utakuwa Dar hivyo chai yetu haitaenda Mwambassa.
 
Back
Top Bottom