Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Riz1 ndo kampiga bao ukitizama kwa jicho la tatu ni kama anaandaliwa.

Feb Marope ndo alikuwa mtarajiwa mwanzoni.

Just my take.

Does he have strength and mental ability to handle the high office heavy loads? Longolongo zimeisha muda wake. Huu ni muda wa kutoa majibu sio kuroga ili uendelee kuongoza.
Ndio maana watu wanahangaika sana na hakuna wanachopata
 
Yule jamaa much know one time alijimix akasema hata kama unamchukia au umempita akili boss usimuoneshe, ukisoma Cuba akili inakwambia huyu anambeza boss kubwa keshaota mapembe!!

Yule mwingine akamwaga mchele kitaa kuwa tunafunga tu maana refa wetu haina haja kuhesabu kura!! Cha Arusha kilipanda kichwani.

Binafsi nampongeza sana Bimkubwa ila bado kijana mmoja sijui kaponaje, hawa watatu and company wanautafuta ufalme kwa nguvu zote na hawamfai Bimkubwa kwenye safari yake!!

Dawa asafishe wote ataongoza kwa amani, mitano tena!!
 
Nilianza kumuona Nape wa ajabu pale aliposemaga Mungu ameamua ugomvi kati yake na JPM..Kwa maana nyingine alifurahia kifo Cha mwenzie...Kiongozi wa public unatamka maneno kama haya kweli????....kule Kanda ya Ziwa walikuwa wanasubiri siku itafika ya Mungu kuonyesha haki ilipo..
 
Mama Samia Fukuza Mwigulu hivi mtu kama yule anakuaje waziri wa fedha?? Mteua VP Mpango kuwa Makamu wa Rais na Waziri wa Fedha mbona Dotto biteko hata Musalia Mudavad ana nafasi mbili?? Kuliko kukaa na Mtu mbabaishaji sana kama Mwigulu yaani bora tusiwe na Waziri yule jamaa hasaidii nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…