Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Riz1 ndo kampiga bao ukitizama kwa jicho la tatu ni kama anaandaliwa.
Feb Marope ndo alikuwa mtarajiwa mwanzoni.
Just my take.
Bad Mwigulu Baba uliye mbinguni sikia kilio chetu mfungue chura asikie😃🙌
UpiNape kaongea ukweli kafukuzwa Makala aliyeongea uongo kaachwa Dunia hii Bhagoosha!!
Mimi nafurahia mivurugano yao tyuu.!! 😹😹😹Katika vita kuna watu lazima watolewe kama chambo ili upatikane ushindi😁😁😁
Tulia tujionee mengi wanguhofu inamuendesha, sasa hivi anaendeshwa kwa hisia.. uzuri marope anaelewa game vizuri.. ingawa kwa Urais hawezi kuja shinda .. japo ana hizo ndoto uraisi na marope ni kama ilivyo magharibi isivyoweza kutana na mashariki
Hujui alichokiongea huko Bukoba?
Sijui jombaHujui alichokiongea huko Bukoba?
Hebu isachi ile Clip.Sijui jomba