Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nape Hana shida ya pesa. Anamiliki kampuni tano za simu.juzi kwa mdomo wake alisema milioni 300 Ni hela kidogo Sana kwake.
Hahahahahah kampuni anazosemea ni hizi zinazotupiga mabando 🤣 unalipa cha weeke unatumia lisaa limoja!

Alimaanisha mgao anaokula kwenye kampuni tano kubwa nchini sasa shughuli ndio imeisha ina maana wanam cut off this time. Gawio hakuna tena lazma kichwa kipagawe ataenda kuomba msamaha kwa magoti.
 
Aombe msamaha na kwetu timu jamiiforums maana tulimchachamalia kama hatuna akili nzuri. Ingawa kumuondoa hakumaanishi kuwa CCM watakuwa safi. Alichosema Nape Kiko kwenye mioyo yetu na ndiyo maisha na mipango yao kila chaguzi.
 
GACHAGUA the sixth
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…