Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa mwendazake wengi tulifurahi maana alikuwa anakwenda kuingiza nchi kwenye machafuko nyang'au yule kama si Mungu kuingilia kati
Jiwe awe hai nani asubutu kuleta machafuko ? Kitu ambacho hujui machafuko yatatokea sasa wakati huu. Maandamano ya Kenya na UG yatakuwa kama arab spring yatamtoa kizimkazi

Jiwe na mabaya yake yote lakini alitufaa sana. Mfumo ndio ulikuwa mbovu ndio maana unaona sasa hayupo ila wimbi la kutekana na kuuana limezidi yeye aliteka watu wake kina Mo hakuwa ana deal na watu wa chini. Kizimkazi watoto wanauliwa yeye anaita Drama
 
Dkt Samia hata hahusiki kabisa
 
Hii tunaweza kusema rais Samia Suluhu Hassan amemkata mtama mbunge wa Mtama Nape Moses Nnauye baada ya kutengua uteuzi wake wa waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya habari

Kuna uwezekano mkubwa Nape amekatwa mtama huo na rais kwenye nafasi yake hiyo kutokana na kauli yake ya hivi karibuni aliposema kuwa "kupatikana kwa mshindi kwenye uchaguzi inategemea nani anayetangaza matokeo"
 
Ndo akome aache kuropoka ropoka
 
Ya Ruto yametoa darasa huku.

Ila huyu nguli wa uchumi ashukuru sana
Hana unguli wowote, ni vile tu mambo ya...

"Kijana kwenye hizo trillion 2 zilizoingizwa, moja ielekeze kwenye account ile ya Dubai" Wewe utachukua ile ile kama last time zingine zibakie kwenye kibubu chetu tusukumie miradi ya kitaifa.
 
Makamba mutoto wa mama vipi tena?
Ila Nape kanyea kambi.
Hivi hamkumwelewa RC wa Arusha kwenye hotuba yake pale Monduli kwenye kumbukumbu ya Waziri Mkuu, Hayati Edward Sokoine!!? Eti zee la Kisomali likaamua kumwita kwenye Kamati ya Nidhamu ya CCM na kumwambia awataje hao Mawaziri wanaopeleka taarifa za kidaku kwa Dada huko USA akifikiri RC hakupikwa na kupikika/kuiva kisawasawa!! RC akakataa kutoa siri kwa huyo Msomali akijui siri itavuja. Leo ndio siku imetimia na bado!! 🀣🀣
 
Itabidi akina Dina marios wamuonee huruma tuu aisee πŸ˜‚ kwanza hapo nape atajifanya amesahau kama alitoa hy ahadi πŸ˜‚
Alishapiga hesabu za mgao wa Tigo, Zantel, Vodacom,Halotel na Airtel kila mmoja akimpa million 10 kil mwezi hakosi za kuhonga. Ndio maana alidai 300M ni hela ndogo sana kwake 🀣
 
Serikali kumbe sometmes haina dhamira ya dhati,au tuseme uchawi upo, Jery silaa unamtoaje wizara ya ardhi wakati alikuwa anafanya vizuri zaidi!!? Au ndio matapeli wameenda kuroga ahamishwe wizara au atenguliwe!!! Kweli uchawi upooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…