Itakuwaa kuna wayaa wa Mukubwaaa alikanyagaaaa.. Avumae baharini papa kumbe Wengine wapooo ndo haya sasaa..🤣🤣🤣🤣🤣 ila haya yote ni neema kwa KJWangapi wamepata haki zao? Hata angekaa miaka 20 usingesikia kafika Katavi au Songea unadhani huko hakuna migogoro ya ardhi? alichokuwa anafanya sio kazi zake, hiyo haina tifauti sana na Rais kila mara kuwalipia wagonjwa bill za matibabu,unadhani hiyo ni huruma ya kweli?
mbunge alijiuzulu yeye mwenyewe kuna madudu walifanyaDuuuh
Wazee wa Goli la Mkono wamewekwa kando.
Najiuliza, kulikuwa na ulazima wowote wa kumstaafisha Mbunge ili kumteua mwingine?
Tunajua Waziri si mtendaji Mkuu wa wizara. Hivyo, ingelikuwa vema yule anayeonekana kufaa angepelekwa kuwa Katibu Mkuu wa wizara husika.
Kocha kafanya 'Sub' ngoja tuone magoli sasa
Mwenye nacho huongezewa ngoja tuone asienacho hata kile alichonacho atapokonywaSilaa atuletee internet ya Elon Musk sasa
Hii ilishavuja kuwa anatenguliwa. Siku ile alifanya makusudi ili ionekane katenguliwa kwa sababu ile. Jamaa ni empty kichwani pia ni mtu mwenye dharau nyingi sana.Alikosea sana, bangi aliyovuta ile siku asivute tena.
Kwa hili mama kafanya vizuri, wanaoleta mafarakano sio wa kuvumiliwa.
Tusiishi kwa kujisahauHii Vita ni Kubwa sana Muraaaa 🤣🤣
Magu alimjua mapema sanaa akalitembeza na magoti kwenye lami huku linalia kama toto watu povu likawatoka kumtetea ,alichofanya wengi wamejioneaHii ilishavuja kuwa anatenguliwa. Siku ile alifanya makusudi ili ionekane katenguliwa kwa sababu ile. Jamaa ni empty kichwani pia ni mtu mwenye dharau nyingi sana.
Marope naona huko Mambo ya Nje Mambo kuwapeleka Wasanii wanafanya vibweka mixa vituko babalevo Mwijaku eliud stevenyerere hakuna unachotangaza kuhusu TZ zaidi ya kuwaigiza waChina na waJapan Waziri yupo tu useless Marope OutJanuari Ma-rope je ? Kaharibu nini?
Kuna wenye uwezo zaidi yake acha wapewe nafasi na wao waonyeshe viwango tunamtaka Elon Musk aje kuwekeza sasa kikwazo kimeshaondolewaView attachment 3048331 Kizimkazi umepigaje hapooo hadi juu ya mnara alipanda lakini waaaaapiiii alizidi kiburi huyu hafai kuwa hata balozi nyumba kumi
LOoooh!Kati ya mambo mazuri aliyowahi kutenda huyu Mama [In Lissu voice] hili ni la kwanza kabisa.
Kakosea kumwacha wa Hazina.
Cha kufurahisha ni yule Bwana wa kuitwa Nape Nnauye alipogundua kua anaenda kupigwa Sub very soon akaamua atoe Siri ya kambi Bao la Mkono Maradona 'hand of God' akaongezea kusema '.......na Mungu atatusamehe' ili kusudi ionekane kwamba hio Sub imetokana na yeye kumwaga ulumbi Ila sio hivyo Bwana yule alishausoma mkeka kabla Mkeka haujatokaLOoooh!
Haya ni maajabu na kweli!
Hivi kweli kuna la kushangilia hapo?
"...mambo mazuri aliyowahi kutenda huyu mama...". 'Seriously'?
Kwa hiyo sasa tunaweza hata kupiga kampeni ya mitano tena?
Hapa kuna kipi cha kufurahisha hasa?
Bado sana, hadi huyo mteuzi mwenyewe atenguliwe na chama cha wakulima na wafanya kazi kirekebishwe kuwatumikia wananchi, hapo ndipo "maisha yataendelea".My Take
Cheo ni dhamana, maisha yaendelee
Luca mwambie mama Kwa slaa kachemka,angemuacha tu
Hili linapunguza maumivu kidogo na kwa muda mfupi tu bila ya kuponya kunakoanzia maumivu.Cha kufurahisha ni yule Bwana wa kuitwa Nape Nnauye alipogundua kua anaenda kupigwa Sub very soon akaamua atoe Siri ya kambi ili ionekane kwamba hio Sub imetokana na yeye kumwaga ulumbi Ila sio hivyo Bwana yule alishausoma mkeka kabla Mkeka haujatoka