Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wangapi wamepata haki zao? Hata angekaa miaka 20 usingesikia kafika Katavi au Songea unadhani huko hakuna migogoro ya ardhi? alichokuwa anafanya sio kazi zake, hiyo haina tifauti sana na Rais kila mara kuwalipia wagonjwa bill za matibabu,unadhani hiyo ni huruma ya kweli?
Itakuwaa kuna wayaa wa Mukubwaaa alikanyagaaaa.. Avumae baharini papa kumbe Wengine wapooo ndo haya sasaa..🤣🤣🤣🤣🤣 ila haya yote ni neema kwa KJ
 
Duuuh

Wazee wa Goli la Mkono wamewekwa kando.

Najiuliza, kulikuwa na ulazima wowote wa kumstaafisha Mbunge ili kumteua mwingine?

Tunajua Waziri si mtendaji Mkuu wa wizara. Hivyo, ingelikuwa vema yule anayeonekana kufaa angepelekwa kuwa Katibu Mkuu wa wizara husika.
mbunge alijiuzulu yeye mwenyewe kuna madudu walifanya
 
Daah Fedha kimya huyu jamaa ni kiboko Nape ni sahihi ishu ya bundle yupo kimya kama sio yake ila Slaa alitakiwa abaki pale alikua na mikakati mizuri sana inawezekana wao wajuzi zaidi..
 
Alikosea sana, bangi aliyovuta ile siku asivute tena.

Kwa hili mama kafanya vizuri, wanaoleta mafarakano sio wa kuvumiliwa.
Hii ilishavuja kuwa anatenguliwa. Siku ile alifanya makusudi ili ionekane katenguliwa kwa sababu ile. Jamaa ni empty kichwani pia ni mtu mwenye dharau nyingi sana.
 
Hii ilishavuja kuwa anatenguliwa. Siku ile alifanya makusudi ili ionekane katenguliwa kwa sababu ile. Jamaa ni empty kichwani pia ni mtu mwenye dharau nyingi sana.
Magu alimjua mapema sanaa akalitembeza na magoti kwenye lami huku linalia kama toto watu povu likawatoka kumtetea ,alichofanya wengi wamejionea
 
1000146566.jpg
Kizimkazi umepigaje hapooo hadi juu ya mnara alipanda lakini waaaaapiiii alizidi kiburi huyu hafai kuwa hata balozi nyumba kumi
 
Hawa vijana wa waasisi wa CCM walimdharau Rais baada ya kulewa madaraka. Kauli za Nape hazikuwa na busara.

Screenshot_20240722_040832_Chrome.jpg


Naye Januari kupitia dada yake Mwamvita ndiye alikuwa anamlipa Mange Kimambi kwa yale matusi.
Screenshot_20240722_041638_Instagram.jpg


Hata hivyo Rais Samia ni mpole sana. Mungu ambariki
 
Kati ya mambo mazuri aliyowahi kutenda huyu Mama [In Lissu voice] hili ni la kwanza kabisa.

Kakosea kumwacha wa Hazina.
LOoooh!

Haya ni maajabu na kweli!

Hivi kweli kuna la kushangilia hapo?

"...mambo mazuri aliyowahi kutenda huyu mama...". 'Seriously'?

Kwa hiyo sasa tunaweza hata kupiga kampeni ya mitano tena?

Hapa kuna kipi cha kufurahisha hasa?
 
LOoooh!

Haya ni maajabu na kweli!

Hivi kweli kuna la kushangilia hapo?

"...mambo mazuri aliyowahi kutenda huyu mama...". 'Seriously'?

Kwa hiyo sasa tunaweza hata kupiga kampeni ya mitano tena?

Hapa kuna kipi cha kufurahisha hasa?
Cha kufurahisha ni yule Bwana wa kuitwa Nape Nnauye alipogundua kua anaenda kupigwa Sub very soon akaamua atoe Siri ya kambi Bao la Mkono Maradona 'hand of God' akaongezea kusema '.......na Mungu atatusamehe' ili kusudi ionekane kwamba hio Sub imetokana na yeye kumwaga ulumbi Ila sio hivyo Bwana yule alishausoma mkeka kabla Mkeka haujatoka
 
Cha kufurahisha ni yule Bwana wa kuitwa Nape Nnauye alipogundua kua anaenda kupigwa Sub very soon akaamua atoe Siri ya kambi ili ionekane kwamba hio Sub imetokana na yeye kumwaga ulumbi Ila sio hivyo Bwana yule alishausoma mkeka kabla Mkeka haujatoka
Hili linapunguza maumivu kidogo na kwa muda mfupi tu bila ya kuponya kunakoanzia maumivu.
Ni sawa na panadol kutuliza kichwa kidogo, nguvu ikiisha maumivu yanabaki palepale.
 
Back
Top Bottom