Kwa hio wataka kusema kwamba kupunguza matawi si sawa na kuukwanyua Mzizi na Shina?Hili linapunguza maumivu kidogo na kwa muda mfupi tu bila ya kuponya kunakoanzia maumivu.
Ni sawa na panadol kutuliza kichwa kidogo, nguvu ikiisha maumivu yanabaki palepale.
Labda mwisho mbaya kwako weweKwa tenguzi hizi mbili, naona mwisho mbaya wa Mh. Samia 2025
YaaapTunawakaribisha uraiani waje waendelee na harakati za kufunga goli la mkono uchaguzi ujayo,Maana haya mambo ndo wanayoyaweza.
Tayana-wog anacheka sana ngoja Mvua inyesheKweli nchi hii wajinga mko wengi, hivi unajua mamlaka aliyonayo raisi?
Nchi hii rais hata akifuta mawaziri wote na akateua wengine hakuna kitakachoharibika.
Yaani makamba na January ndiyo wakwamishe urais wa mama hivi vichekesho viwe vinaishia kwa mume wako
Wasubiri Msimu ujao washashuka DarajaLabda mwisho mbaya kwako wewe
Yaani unaamka na wenge la hangover kucheki mkeka umechanika unaumwa mara mbiliAnapenda kuteua na kutengua siku za weekend usiku
Usilojuwa!Hatimaye wataalamu wa magoli ya mkono na offside wamewekwa benchi.
Mambo ni motooo ndani ya CCM.
Urais 2025 kutawaka moto.
Ingependeza sana ingekuwa kama unavyo pendekeza.Kwa tenguzi hizi mbili, naona mwisho mbaya wa Mh. Samia 2025
Liweke wazi basi, hakuna ubaya kuliongeza kama unajuwa zaidi ya hiloAcha kupotosha la Makamba ni kubwa zaidi
Jingine ni ufisadi aliofanya TANESCO kwa ajili ya kujilimbikizia fedha za kugombea urais wa Tanzania mwaka 2025Acha kupotosha la Makamba ni kubwa zaidi
Hapo ikifika asubuhi Jumatatu mapema sana ukatoe makorokoro Ofisini huna tena Ofisi, namaanisha makorokoro km uliyaweka uwahi kuyatoa mapema sanaAnapenda kuteua na kutengua siku za weekend usiku
Watateuliwa tena utashangaa sana ngoja wakaoge damu ya mnyamaMakamba na Nape ni mara ya pili wanatumbuliwa. Nitashangaa kama watateuliwa tena siku zijazo
Lipi yapi?Acha kupotosha la Makamba ni kubwa zaidi
Na yeye alishawahi kuongelea mambo ya uchaguzi wa 2020 jinsi walivyoiba kura.Januari Ma-rope je ? Kaharibu nini?
Tutaiwekea nazi,hiliki na tangawizi laźima inogeMzee wa fitna,uchaguzi serikali za mitaa 2024 na ule uchaguzi Mkuu 2025 itakuaje?
Mnawasingizia tu enzi za Magu mlisema Kigogo14 ni Zito na Makamba tena mmehamia kwa Mange??Hawa vijana wa waasisi wa CCM walimdharau Rais baada ya kulewa madaraka. Kauli za Nape hazikuwa na busara.
View attachment 3048330
Naye Januari kupitia dada yake Mwamvita ndiye alikuwa anamlipa Mange Kimambi kwa yale matusi.View attachment 3048332
Hata hivyo Rais Samia ni mpole sana. Mungu ambariki