Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hili linapunguza maumivu kidogo na kwa muda mfupi tu bila ya kuponya kunakoanzia maumivu.
Ni sawa na panadol kutuliza kichwa kidogo, nguvu ikiisha maumivu yanabaki palepale.
Kwa hio wataka kusema kwamba kupunguza matawi si sawa na kuukwanyua Mzizi na Shina?
 
Hili tukio limechelewa kwa miaka kadhaa.
Nape kuoewa uwaziri ni kuudharaulisha wadhifa wa uwaziri.
 
Hatimaye wataalamu wa magoli ya mkono na offside wamewekwa benchi.
Mambo ni motooo ndani ya CCM.
Urais 2025 kutawaka moto.
Usilojuwa!

Utasemaje iwapo ni maandalizi ya kazi hiyo hiyo ambayo wao ndio mafundi. Si wakati ndio huu wakafanye kazi yao ifane vizuri zaidi?
 
Mzee wa fitna,uchaguzi serikali za mitaa 2024 na ule uchaguzi Mkuu 2025 itakuaje?
 
Hawa vijana wa waasisi wa CCM walimdharau Rais baada ya kulewa madaraka. Kauli za Nape hazikuwa na busara.

View attachment 3048330

Naye Januari kupitia dada yake Mwamvita ndiye alikuwa anamlipa Mange Kimambi kwa yale matusi.View attachment 3048332

Hata hivyo Rais Samia ni mpole sana. Mungu ambariki
Mnawasingizia tu enzi za Magu mlisema Kigogo14 ni Zito na Makamba tena mmehamia kwa Mange??
 
Back
Top Bottom