Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu Silaa mama angemuacha kwanza ...... kuna mission alikuwa hajamalizia kule ardhi....... angeacha kabisa ang'oe mpaka visiki vyote maana kule wezi wako wengi utadhani ardhi ni kitu kinachobebeka mfukoni
 
Kwa Nape nimeelewa. Vip Kwa Januari? Sijaelewa kinachoendelea?
 
Huyu silaa mama angemuacha kwanza ...... kuna mission alikuwa ajamalizia kule ardhi....... angeacha kabisa ang'oe mpaka visiki vyote maana kule wezi wako wengi utadhani ardhi ni kitu kinachobebeka mfukoni
Silaa alijigeuza mungu mtu, Kuna watu Wana upeo mdogo sana.
 
Mchungaji Peter Msigwa. Jifunze kitu hapa
 
Mtu kapata Div 4 kaenda kusoma City College Bangalore India akili anapata wapi? Tuwe wakweli, jamaa wa habari ni mweupe sana kichwani. JK alimbeba sababu ya agano la Butiama la watoto wa vigogo kukumbukwa, ila jamaa ni mweupe mno.
Hiyo kitu inatakiwa ife kabisa. So called watoto wa viongozi wengi wao hawana uwezo wa wazazi wao waliopita. Ni jina tu si performance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…