Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wacha bwana!
in politics nothing happens out of mere coincidence,

everythings are normally well planned, organized, scripted and executed in order to achieve specific political objectives ..

on this reshafal,
political goals and objectives are going to easily be achieved soon, if you are aware above the motives of this move🐒
 
Tangu enzi za jpm sikuwahi kumwamini nape na malope,hawa watu ni wahun tu,safi sana mama hakika 2025 huna mpinzani,tuone kama huyu nape ataanza matusi yake na kigogo wa twiter kulejea uanaharakati wake.


Nape na Malope ni watu wa roho mbaya na wabinafsi sana
 
Nape Hana shida ya pesa. Anamiliki kampuni tano za simu.juzi kwa mdomo wake alisema milioni 300 Ni hela kidogo Sana kwake.

huwa zinaisha hizo wakishaondolewa kwenye mfumo, ile tu kuongea hivyo inaonyesha hana mazoea ya fedha, mtu anayejua kuzalisha na kutengeneza fedha hawezi ongea kwamba millions si kitu, wezi wa kuchota ndio huongea hivyo …
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…