Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
😹😹😹 Mara imekuwa fursanaKamatia fursa,
Naliambia linanicheka ngoja niliulize ubuyu mwingine nisiwe napitwa na mikeka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😹😹😹 Mara imekuwa fursanaKamatia fursa,
in politics nothing happens out of mere coincidence,Wacha bwana!
Na Bibi yenu nae ajiandae kuondoka next year ukimwaga ugali ujue kuna mboga pia. Bahati nzuri ipo na bahati mbaya ipo pia mbwai na iwe mbwaiNa wala hajapandishwa rasmi kuwa Waziri wa Wizara kwa Upendeleo bali Dogo anajua kwenda na Rythm ya Wimbo.
Bado yule wa iramba sijui kwanini anamlea au wanakwiba wote?Utukufu wa Mungu ni wa Ajabu sana!
MshaanzaTuendelee kusubiri View attachment 3048287
Watamuua mzee yusuf kwa peshawar watoto wake wote kuondolewa ulaji
Tuendelee kumsagia kunguni, japo kuna kitu nanusa huenda yupo karibu huu utakatifu kauanza ghaflaMimi bado hajanikuna kabisaa haiwezekani mwigulu aniambie nihamie Burundi. Na akasema Swala Kodi kuongezeka eti wananchi tumeshauri? 🤣🤣🤣
Riz1 ndo kampiga bao ukitizama kwa jicho la tatu ni kama anaandaliwa.Januari Ma-rope je ? Kaharibu nini?
Nani alisema hayo?Namnukuu "Kama sio usenge ni Nini Sasa ?"
Mama ajipange. Kama hakujifunza kwa kilichompata Magu akicheka nao atakuta yuko nje ya ulingo. Akiweza awatie ndani kifungo cha maisha🤣🤣🤣🤣 Wazandiki wabaya sana hao walimpabikisha sana jiwe sasa zamu yake Chura kiziwi
Madelu naye ipo siku na hivi kaanza kujileta kukanusha humu na kupita kila platform ujue moshi unafuka hukoBado yule wa wizara ambayo inadili na yale mambo yanayopendwa zaidi na wanawake
Alafu ni kama alikuwa na Konyagi kichwani akati anaropokaRopo ropo Nape kamponza hadi Byabato masikini
Nape Hana shida ya pesa. Anamiliki kampuni tano za simu.juzi kwa mdomo wake alisema milioni 300 Ni hela kidogo Sana kwake.
Huwezi jua nyuma ya pazia Kuna nini . Huenda wameona ni namna nzuri ya kuchanga karataWatamuua mzee yusuf kwa peshawar watoto wake wote kuondolewa ulaji