Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ivii kama nape anapewa cheo kwa uwezo gani jamaa angepewa kazi nyingine kabisa mfano slaa angemuacha pale pale awapige msumari ule ule alioanza hiyo wizara ni chafu pozi
 
Mama anaandaa anguko lake mapema. Anawaondoa wenye chama na magwiji wa fitina??
Sidhani kama Samai kwenye urais atafeli, Samia atapita tu hata kwa kujiminya, ameanza kucheza na akili ya watumishi hasa ile kada ya baba yake ambayo huwa manyampara wa zoezi zima kwa kuwapandisha vyeo, asubuh na mapema ameshaingia Ikulu kumaliza muhula wa pili.
 
samia hatoboi, kwa kila njia utakayo kuitazama!
 
Kaliamsha dude. Huwa hawajui hawa vijana
Endapo watafanikiwa kumwangusha atakuwa amejitakia mwenyewe, muda ulio salia kwa nguvu ya Rais unatosha kabisa kuwaminya hadi wakatoka kwenye reli kabisa, akizembea basi wanaweza kummaliza.
 
Ivii kama nape anapewa cheo kwa uwezo gani jamaa angepewa kazi nyingine kabisa mfano slaa angemuacha pale pale awapige msumari ule ule alioanza hiyo wizara ni chafu pozi
Kwa hio unataka kusemaje Nape akapewe kazi gani nyingine ikiwa hii ya kukwangua Vocha na kukwea minara ya Mawasiliano imempiga mweleka?
 
Tunamkosoa jamaa wa habari ila circle ya hawa mchwa iko pale pale.
Kwanini hatujiulizi huyu mtoto wa kigogo wa zamani amepandishwa pale kwa kazi gani? Binafsi naona anaisogelea ikulu na kuondolewa akina marope kunamsafishia njia zaidi yeye 2030 uko!
 
Seems to me Wizara ya Mambo ya Nje, Pamoja na Nape walikuwa wanaplot something against Samia, Bybato was too Young to ruin his political carrier.

Message ya Nape kuwa "We can make you win" ilikuwa ina maanisha any one including Rais ana obligation ya kumuheshimu Nape ili apate nafasi
Kaa pembeni tu mzee nape huwezi pewa cheo kwa kuonewa huruma hii nchi unapewa kazi kwakuwa ulitumiwa mahali
 
Nape, Makonda na Mwigulu hawafai kabisa. Hawa ni watu wasiotumia common sense wamejaa viburi vya madaraka. Wanarudia makosa yale yale yaliyowagharimu huko nyuma. Miungu watu na wanajiona untouchable.
 
Back
Top Bottom