rastar mjeshi
Senior Member
- Aug 15, 2023
- 193
- 253
Ivii kama nape anapewa cheo kwa uwezo gani jamaa angepewa kazi nyingine kabisa mfano slaa angemuacha pale pale awapige msumari ule ule alioanza hiyo wizara ni chafu pozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Badilisha hiyo tecno ndugu yanguUteuzi from ikulu
Upande wa aridhi kapugiKuomba omba msamaha
Sidhani kama Samai kwenye urais atafeli, Samia atapita tu hata kwa kujiminya, ameanza kucheza na akili ya watumishi hasa ile kada ya baba yake ambayo huwa manyampara wa zoezi zima kwa kuwapandisha vyeo, asubuh na mapema ameshaingia Ikulu kumaliza muhula wa pili.Mama anaandaa anguko lake mapema. Anawaondoa wenye chama na magwiji wa fitina??
'Theme' ni ile ile; hata aibu hamna!Hakuna wa kumtikisa mama, kama walishindwa mwanzoni pale saizi ndio wataweza? Wathubutu waone kama hawajafirisika.
samia hatoboi, kwa kila njia utakayo kuitazama!Sidhani kama Samai kwenye urais atafeli, Samia atapita tu hata kwa kujiminya, ameanza kucheza na akili ya watumishi hasa ile kada ya baba yake ambayo huwa manyampara wa zoezi zima kwa kuwapandisha vyeo, asubuh na mapema ameshaingia Ikulu kumaliza muhula wa pili.
Endapo watafanikiwa kumwangusha atakuwa amejitakia mwenyewe, muda ulio salia kwa nguvu ya Rais unatosha kabisa kuwaminya hadi wakatoka kwenye reli kabisa, akizembea basi wanaweza kummaliza.Kaliamsha dude. Huwa hawajui hawa vijana
Kwa hio unataka kusemaje Nape akapewe kazi gani nyingine ikiwa hii ya kukwangua Vocha na kukwea minara ya Mawasiliano imempiga mweleka?Ivii kama nape anapewa cheo kwa uwezo gani jamaa angepewa kazi nyingine kabisa mfano slaa angemuacha pale pale awapige msumari ule ule alioanza hiyo wizara ni chafu pozi
Kaa pembeni tu mzee nape huwezi pewa cheo kwa kuonewa huruma hii nchi unapewa kazi kwakuwa ulitumiwa mahaliSeems to me Wizara ya Mambo ya Nje, Pamoja na Nape walikuwa wanaplot something against Samia, Bybato was too Young to ruin his political carrier.
Message ya Nape kuwa "We can make you win" ilikuwa ina maanisha any one including Rais ana obligation ya kumuheshimu Nape ili apate nafasi
Au Britannica ndiye mama mwenyewe 😅😅Britannica heshima kwake, nadhani yuko karibu na jiko maana anayaona yaliyomo kwenye chungu mapema sana
Kufirisika kivipi?Wathubutu waone kama hawajafirisika.
Watatekwa?Anyway.. lindeni watoto wenu. To n From school..
Kurugenzi ikuluAu Britannica ndiye mama mwenyewe 😅😅
Take care...Watatekwa?
Kweli, hapo mama nadhani kachemka. Mauozo ya ardhi yanahitaji waziri mwenye ujasiri wa kuyashughulikia.SijaelewA hapo kwa Jerry Slaa. Kapigwa FIGISU..
Waziri gani sasa anahitajika hapo Ardhi.
Hovyooo...
Wanakwiba watoto wanachukua nyeti ili wachukue vyeoTake care...
Hivi vyeo vya kishetani hivi...