Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi unaofanywa na Samia ni mbwembwe tu za Madaraka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Maneno ya uchawa ni ya kipumbavu yasiyo na mashiko yoyote tunapoongelea ufanisi wa SSH na awamu yake ya sita.

It's a stupid rhetoric used lately. SSH anakwenda kuifungua nchi kwa SGR na viwanja vya ndege vinavyozidi kujengwa kila mkoa.
Uchawa ni fedheha!
 
Nape na Makamba muda huu wanaandika sana hizi nyuzi za kumkejeli SSH na mawaziri wake wapya.

Wapo incompetent japokuwa wanajidanganya kuwa wao ni mawaziri bora.
 
Una uhakika gani kama kazi yake ni kuteua na kutengua?, au kwa sababu hicho ndicho unachokiona ukitazama televisheni yako?.

Miradi yote aliyoiacha hayati JPM inamaliziwa muda huu, mwishoni mwa mwezi huu pale Busisi linafunguliwa daraja alilolijenga hayati.

Mwendo kasi unajengwa kwa kasi njia hii ya kuelekea Mbagala. Bandari yetu inao ufanisi unaobadilika tunaondokana na business as usual.

SSH anaweza kuwa bora kikazi kuliko watangalizi wote watano.
 
Chawa katika ubora wako!
 
Si kweli, Anachokifanya Samia ni uTHIBITISHO wa kupata PhD. Ni siasa MAKINI. Ni sawa na kulivunja baraza la mawaziri kimtindo fulaini hivi uitwao Samialism.
Viraka vingi hukamilisha suti kamili. Inanikumbusha zile Jeans za kimarekani zilivyojaa viraka na kuwa pendwa mtaani. Mtaelewa tu. Tupo katika mabadiliko mazito sana na muhimu sana.
Ni ama Tanzania tunajivua ujinga wa miaka 60 au tunaukumbatia milele. Tumuunge mkono MAMA ili tufike nchi ya ahadi.
 
Hawezi kukuelewa kama alivyoshindwa kumuelewa Samia na anachokifanya.
 
Ni mpumbavu peke yake anayeweza kulinganisha TLS na vyama vya wafanyakazi!

Ni vema ukaficha ujinga wako usifedheheshe familia yako!
Kumbe nawe ni zero brain.
Sikujibu tena. TLS ni nini basi bwana zero brain?
 
Tumeona kila mara anateua na kutengua! Wale wale aliowatengua anawateua tena na kuwatengua tena. Kwa kiingereza ana recycle watu wake bila kuwapa elimu wala semina elekezi.

Anachofanya Samia ni kuonyesha nguvu na madaraka aliyonayo kikatiba.
Hapana, ni udhaifu katika uongozi kwa sababu unasababisha instability na uncertainty katika uongozi wa nchi. Hayo ni mambo mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa course ya Public Administration atakuambia.

Msimsifie Raisi kapendeza wakati hajavaa nguo, hamumsaidii
 
Huna hoja mkuu Izia, chuki haikusaidii chochote.
Unashindwa kutofautisha kati ya uwezo wa Samia na kazi za Serikali zinazoendelea kwa sababu ya uchawa!

Kazi zinazoendelea si kwa sababu ya Samia hata asingekuwepo kazi hizo zingefanyika!

Kwa ujinga na uchawa wako unadhani zinafanyika kwa sababu ya Samia!

Hoja iliyopo hapa ni uwezo wa Samia kusimamia watu wake aliyowateua mwenyewe! Hana uwezo, anawahofia na anawaogopa hivyo silaha aliyobaki nayo ni kuwateua na kuwatengua ili mradi awajaze hofu washindwe kutekekeza majukumu yao!

Kwako hilo unalishangilia bila tafakuri kwa sababu ya uchawa!
 
Kwa hiyo anabandika na kubandua viraka!
Huko ni kutojiamini!
 
Kumbe nawe ni zero brain.
Sikujibu tena. TLS ni nini basi bwana zero brain?
Ulivyo na fuvu tupu lililobeba nywele unafananisha TLS na CWT! TLS ni chama cha taaluma kwa kazi mahsusi kwa kibali maalumu ambacho kama huna huwezi ku-practice hata kama una ujuzi!
 
Hiyo instability na uncertainty inafanya serikali mzima kuwa dhaifu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…