UTEUZI: Rais Samia afanya teuzi za Wakurugenzi Watendaji wa Hospitali ya Muhimbili na JKCI

UTEUZI: Rais Samia afanya teuzi za Wakurugenzi Watendaji wa Hospitali ya Muhimbili na JKCI

UTEUZI: Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Mohamed Yakubi Janabi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Muhimbili.

Prof. Janabi alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)
Prof. Janabi anachukua nafasi ya Prof. Lawrence Maseru ambaye amestaafu.

Aidha Rais Samia amemteua Dkt. Peter R. Kisenge kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete.

Dkt. Kisenge anachukua nafasi ya Prof. Janabi.

Kabla ya uteuzi, Dkt. Kisenge alikuwa Mkurugenzi wa Tafiti na Mafunzo wa (JKCI).

View attachment 2361054
".....Ueuzi huu umeanza tarehe 02 Oktoba 2022"

Mbona sasa hivi ni tarehe 19 Septemba 2022 kwa hiyo serikali tayri ilishaanza mwezi Oktoba ? Hiki ni Kiswahili gani kwa mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu?
 
Back
Top Bottom