UTEUZI: Rais Samia afanya teuzi za Wakurugenzi Watendaji wa Hospitali ya Muhimbili na JKCI

UTEUZI: Rais Samia afanya teuzi za Wakurugenzi Watendaji wa Hospitali ya Muhimbili na JKCI

Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Peter Kisenge kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, akichukua nafasi ya Prof. Mohamed Janabi.

Dkt. Kisenge ni Mkurugenzi wa Tafiti na Mafunzo wa JKCI.View attachment 2361064

Waswahili bwana hili jina lingekuwa ni la mhindi au mzungu ungesikia hilo jina ni la watu maarufu sana huko India. Khalafu hii sura inafanana na jamaa mmoja ni hustula hapa machakozi. Ama kweli tenda wema uende zako.
 
Janabi wa bia mbili baada ya SAA Mona...
By the way you deserve more than appreciate PROF✌
 
UTEUZI: Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Mohamed Yakubi Janabi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Muhimbili.

Prof. Janabi alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)
Prof. Janabi anachukua nafasi ya Prof. Lawrence Maseru ambaye amestaafu.

Aidha Rais Samia amemteua Dkt. Peter R. Kisenge kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete.

Dkt. Kisenge anachukua nafasi ya Prof. Janabi.

Kabla ya uteuzi, Dkt. Kisenge alikuwa Mkurugenzi wa Tafiti na Mafunzo wa (JKCI).

View attachment 2361054
Hongera sana kwao lakini imefika mahali masikio yamechoka kusikia hizi teuzi too much Sasa ifike mahali tupumzike teuzi teuzi teuzi teuzi
 
Kwa nini hii taarifa imeandikwa 'London' hapo juu? Kuna umuhimu gani kufanya hivyo hata kama Rais yupo huko hivi sasa?

Wasomi wanaotakiwa watuvushe, tena wengine wana 'exposure' kama hawa kina Zuhura ndiyo hawa wanafanya kazi hivi. Au anadhani yuko BBC Swahili anarepoti kutoka London?
Taarifa inatoka kulingana na Mteuaji Alipo
 
Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Peter Kisenge kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, akichukua nafasi ya Prof. Mohamed Janabi.

Dkt. Kisenge ni Mkurugenzi wa Tafiti na Mafunzo wa JKCI.View attachment 2361064
Asante sana Mama kumpandisha Cheo huyu Daktari. Dr Kisenge ni Daktari makini sana wa Moyo. Hakika tuliopitia katika Mikono yake kimatibabu ninampongeza. Daktari unastahili na uzidi kuinuliwa Viwango vya Juu. Hongera sana Daktari Peter Richard Kisenge.
 
Huwezi kusikia mtu ambaye moyo wake ulipata hitilafu/ kupata tatizo la ugonjwa akaenda kupigwa sipana akapona akikejeli hili jina. Wengi waliosaidika wanalisifia na kumshukuru Mungu kwa ajili ya huduma na utalaamu uliotukuka wa huyu Doktori.
 
Asante sana Mama kumpandisha Cheo huyu Daktari. Dr Kisenge ni Daktari makini sana wa Moyo. Hakika tuliopitia katika Mikono yake kimatibabu ninampongeza. Daktari unastahili na uzidi kuinuliwa Viwango vya Juu. Hongera sana Daktari Peter Richard Kisenge.
We nani kakwambia JKCI ipo chini ya MNH!. MOI, JKCI. na MNH ni taasisi 3 tofauti na zinajitegemea. Nakwa mloganzila kwanzia mwezi wa 7 pia ilitolewa chini ya usimamizi wa MNH. Hivyo inaanza kujitegemea. JKCI ni pazuri mno kuzidi MNH, maana wanadonations za research za kutosha na pesa ya matibabu yake ni next level, kwaujumla MNH hapapafikii JKCI hata kidogo. MNH ni hospitali ya Muhimbili pekee basi!
 
N

Ani mjinga hapo? Kama sio wewe?

Mjomba wangu rip ni wale wa asisi wa Tanu siku moja akieleze kwa nini hajali watoto wa viongozi nao wakiwa viongozi kama wazazi wao ilimradi wanafanyakazi zao kwa ueledi aliwatolea mfano hawa Madaktari wakina KisengeR.

Kwa kusema hivi wako Madaktari na wajua ni wazuri mno na ni watalamu wa bobezi mmoja ni bingwa wa magonjwa ya watoto na mwengine bigwa wa magonjwa ya moyo. Baba yao naye alikuwa Daktari mahiri sana. Nakumbuka mwaka 1968 akiwa DoKtari wa Wilaya Bagamoyo ilibidi atungiwe shari la kumshukuru na kumsifia kwa kazi yake mzuri sana na somebody Kandoro. Mwisho wa kunukuu.

Huyo mjomba ni Mchaga akapigilia msumari mbona George Mushi na mwanae waliiongoza USA?!!.
 
Back
Top Bottom