Uteuzi: Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kuwapangia vituo Mabalozi 25 March, 2025

Uteuzi: Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kuwapangia vituo Mabalozi 25 March, 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kuwapangia vituo Mabalozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi na upangiwa vituo Mabalozi ni kama ifuatavyo:

i. Bi. Rachel Stephen Kasanda ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Masasi. Bi. Kasanda anachukua nafasi ya Bw. Lauteri John Kanoni ambaye uteuzi wake umetenguliwa;

ii. Prof. Jafari Ramadhani Kideghesho ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhmini ya Mfuko wa Uhifadhi wa Wanyamapori Tanzania;

iii. CPA. Ashraph Yusuph Abdulkarim ameteuliwa kuwa Meneja Mkuu wa Shirika la Masoko Kariakoo;

iv. Balozi Hamad Khamis Hamad amepangiwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji;

v. Balozi Mobhare Holmes Matinyi amepangiwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden.

Screenshot 2025-03-25 192923.png
 
Naunga mkono hoja, hakika tuna hitaji katiba mpya na balance and check of power, siyo mtu Yuko huko mapumzikoni anateua teua hovyo anavyojiskia
Embu tuache mihemuko ulitaka afanyaje kwa mfano? Ndio maana nasema wengi wetu tunafuata mkumbo tu katiba mpya ila ili itibu nini wachache wanaokuka na hoja za maana
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amempangia kituo cha ubalozi, Balozi Mobhare Holmes Matinyi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden.
 

Attachments

  • 20250325_192640.jpg
    20250325_192640.jpg
    158.7 KB · Views: 52
  • 20250325_194307.jpg
    20250325_194307.jpg
    158.6 KB · Views: 43
  • 20250325_194317.jpg
    20250325_194317.jpg
    36 KB · Views: 40
  • 20250325_194323.jpg
    20250325_194323.jpg
    37.4 KB · Views: 43
  • 20250325_194330.jpg
    20250325_194330.jpg
    146.2 KB · Views: 44
  • 20250325_194303.jpg
    20250325_194303.jpg
    171.8 KB · Views: 47
  • 20250325_194252.jpg
    20250325_194252.jpg
    463.5 KB · Views: 41
  • 20250325_194241.jpg
    20250325_194241.jpg
    341 KB · Views: 39
Embu tuache mihemuko ulitaka afanyaje kwa mfano? Ndio maana nasema wengi wetu tunafuata mkumbo tu katiba mpya ila ili itibu nini wachache wanaokuka na hoja za maana
Tunataka katiba mpya itakayo mfanya raisi aonekane ni mtumishi wa umma na siyo mungu mtu na awajibishwe anapoenda kinyume na Katiba, hatutaki katiba inayomlimbikizia mamlaka kupitiliza rais na kumfanya ajione yy ni special wakati ni mtumishi wa umma
 
Duuuuuuu amenisahau mm,, hata kuwa balozi wa machawa Tanzania
 
Back
Top Bottom