Uteuzi: Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kuwapangia vituo Mabalozi 25 March, 2025

Uteuzi: Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kuwapangia vituo Mabalozi 25 March, 2025

Hatudanganyiki na kuanza kujadili teuzi NO REFORMS NO ELECTION.
 
Pascal bado anaambulia patupu licha ya kufanya spinning zake humu, japokuwa sijamuona akii "sugar coat" ile speech ya Amos Makalla ya virusi.
Chawa Paskali anapambania uteuzi baada ya UCHAFUZI Mkuu 2025.
 
Nilitamani Balozi Slaa nae angepangiwa kituo ili watu wapoteane.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kuwapangia vituo Mabalozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi na upangiwa vituo Mabalozi ni kama ifuatavyo:

i. Bi. Rachel Stephen Kasanda ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Masasi. Bi. Kasanda anachukua nafasi ya Bw. Lauteri John Kanoni ambaye uteuzi wake umetenguliwa;

ii. Prof. Jafari Ramadhani Kideghesho ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhmini ya Mfuko wa Uhifadhi wa Wanyamapori Tanzania;

iii. CPA. Ashraph Yusuph Abdulkarim ameteuliwa kuwa Meneja Mkuu wa Shirika la Masoko Kariakoo;

iv. Balozi Hamad Khamis Hamad amepangiwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji;

v. Balozi Mobhare Holmes Matinyi amepangiwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden.

Mkono mmoja haubeni mtoto
 
Tunataka katiba mpya itakayo mfanya raisi aonekane ni mtumishi wa umma na siyo mungu mtu na awajibishwe anapoenda kinyume na Katiba, hatutaki katiba inayomlimbikizia mamlaka kupitiliza rais na kumfanya ajione yy ni special wakati ni mtumishi wa umma
Hata ingekuja katiba gani bado Rais ataendelea kuwa na nguvu. Usitegemee hiyo katiba mpya ndo itafanya wajinga kama wewe mumuwajibishe Rais. Si unaona Kenya na USA jinsi marais wanavyowapelekea moto pamoja na kwamba wajinga wengi mnasifu katiba zao?
 
Punguza makasiriko, katiba mpya ni mwarobaini wa yote haya,
 
Back
Top Bottom