Uteuzi: Rais Samia afanya uteuzi Wenyeviti wa Bodi Mbalimbali

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka,chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya matumaini.

Amefanya uteuzi wa wenyeviti wa Bodi Mbalimbali hapa nchini. Ambapo mama yetu Mpendwa amewateua viongozi hawa kama ifuatavyo.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
 
Mama ametufikia Asante kwa taarifa.
 
Safari hii kuna Lukas ndio unafuatia poti!, Usinisahau ili tububujikwe kwa machozi ya teuzi!
 
Lukasi limeonekana, Huenda Sasa zamu Yako itafuata ili tububujikwe kwa machozi!
 
Namba nne nilivyoona Lucas nikajua Lucas mashambwa

Nikahisi uchawa umekulipa kumbe bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…