a45
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 1,455
- 1,606
Lucas Mwashambwa njoo huku utuambie kama ni kweli umekula teuzi najua Veo 😂😂😂 tuambie na Kijiji unachohudumuTayari umeshamlipa sahivi nI VEO
Lucas Mwashambwa njoo huku utuambie kama ni kweli umekula teuzi najua Veo 😂😂😂 tuambie na Kijiji unachohudumuTayari umeshamlipa sahivi nI VEO
Nani amekupa bando wewe shetani?Siku zako za kukamatwa ya lazima kufikishwa Mirembe zinahesabika
Utatangulia Wewe ili tujue unabubujikwa na machozi kwa lipi!Siku zako za kukamatwa ya lazima kufikishwa Mirembe zinahesabika
Yupo Halmashauri ya Chunya ni VEO sahivi anaendeshwa kwenye pikipiki ya SSHLucas Mwashambwa njoo huku utuambie kama ni kweli umekula teuzi najua Veo 😂😂😂 tuambie na Kijiji unachohudumu
Duuh,Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka,chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya matumaini.
Huyu Yuko kamsamba anachunga ndama,VEO hakiwezi huyu wa kububujika na machozi!Lucas Mwashambwa njoo huku utuambie kama ni kweli umekula teuzi najua Veo 😂😂😂 tuambie na Kijiji unachohudumu
Mimi ni mkulima na siyo VEOLucas Mwashambwa njoo huku utuambie kama ni kweli umekula teuzi najua Veo 😂😂😂 tuambie na Kijiji unachohudumu
Ni mambo ya hovyo teuzi za hovyo za watu wale waleSiku hizi watu hawana mda na hizi teuzi maana sura ni zile zile una toa kwenye asali unaweka kwenye sukari
Kinachoangaliwa na ufanisi wa mtu katika kutekeleza majukumu yake na kuleta matokeo chanya yenye kugusa na kubadilisha maisha ya watuSiku hizi watu hawana mda na hizi teuzi maana sura ni zile zile una toa kwenye asali unaweka kwenye sukari
Eti Dr!Aibu sn mkuu
Sasa ulitaka uteuliwe wewe na Mimoshi yako ili ukachome ofisi kwa vijiti vyako?Ni mambo ya hovyo teuzi za hovyo za watu wale wale
Aisee,Yupo Halmashauri ya Chunya ni VEO sahivi anaendeshwa kwenye pikipiki ya SSH
Tumuombee huyu shetaniEti Dr!
Mbona zimerushwa saa 7 na A/C ya Ikulu kwenye XAisee,
Kama yupo shamba huko hizi taarifa anazitoa wapi kabla watu wa mjini hawajazipata?
Ukute ndiye mkutubi ofisini kwa Sa100
Wewe mbona huteuliwi?Sasa ulitaka uteuliwe wewe na Mimoshi yako ili ukachome ofisi kwa vijiti vyako?
Nimejiajiri.Wewe mbona huteuliwi?
Kwenda zako wewe shetaniNimejiajiri.
Bi Fatma anaupiga mwingi.Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka,chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya matumaini.
Amefanya uteuzi wa wenyeviti wa Bodi Mbalimbali hapa nchini. Ambapo mama yetu Mpendwa amewateua viongozi hawa kama ifuatavyo.View attachment 3319899
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili