Uteuzi: Rais Samia afanya uteuzi Wenyeviti wa Bodi Mbalimbali

Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka,chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya matumaini.

Amefanya uteuzi wa wenyeviti wa Bodi Mbalimbali hapa nchini. Ambapo mama yetu Mpendwa amewateua viongozi hawa kama ifuatavyo.View attachment 3319899

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
Ipo siku tu.
 
Amenisahau mimi jamani 😪
 
Wakati wao wakifanya vurugu huko na kushindwa kufanya siasa zao...huku Raisi Samia hana muda wa kupoteza ni kazi tu...
 
Back
Top Bottom