Uteuzi: Rais Samia afanya uteuzi Wenyeviti wa Bodi Mbalimbali

Siku hizi watu hawana mda na hizi teuzi maana sura ni zile zile una toa kwenye asali unaweka kwenye sukari
Kinachoangaliwa na ufanisi wa mtu katika kutekeleza majukumu yake na kuleta matokeo chanya yenye kugusa na kubadilisha maisha ya watu
 
Bi Fatma anaupiga mwingi.

Hongera zakee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…