Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete, kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Chancellor) kwa kipindi kingine cha miaka sita.
Uteuzi huo utaanza Januari 17, 2022.
kwa miaka niliyoshiriki humu ndani, comment za namna hii hapa JF sio za kuzipuuza hata kidogo!Ninachojua kikwete 2022 ndiyo mwisho wake. (RIP In Advance)
sina chuki naye lakini prophecy inasema hivyo..
kusudi mambo yafunguke na mengineyo yaende ni lazima AFE
Awamu ya 4 ilikuwa inamwamini Samia.Hongera mama kwa uteuzi makini. Hongera mzee jakaya kwa kuaminiwa tena!
Kazi inaendelea.
Hongera mchaguliwa hongera mchaguwaji ninawaombea kwa Allah akuhifadhini na akupeni busara na hekima ktk majukumu yenu