UTEUZI: Rais Samia Amteua Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB)

UTEUZI: Rais Samia Amteua Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB)

Hii ndio Benki gani?
Wale maharamia wanaokopa mabenki na kukataa kulipa huku hawakupita?
Halafu mbona kama wote yale majizi yako CCM? CCM mna nini na hii nchi jamani?
 
Pia ni watu waaminifu sana!, huwezi kusikia Msukuma ni mdokozi, mla rushwa au ni fisadi!.
P
Ila ni washamba wa mapenzi ,hivi huko mahakamani ndio shahidi upande wa serikali kwamba alidukuliwa akila tunda , huyu jamaa inabidi a step down Kwa kweli amezalilisha position
 
Back
Top Bottom