pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Usiseme Watanzania ndugu, sema ccm.Watanzania mtu mwizi,muuza madawa,jambazi kwao huwa ni shujaaaaa mkuu
Ova
My friend Paskali, I wish to remain silent on this issue.Pia ni watu waaminifu sana!, hiwezi kusikia Msukuma ni mla rushwa au ni fisadi!.
P
Loh! hata Paskali aliliona hili?Chenge na Makonda ni wasukuma au wasukumwa?
Jidai umelewa mkuu.My friend Paskali, I wish to remain silent on this issue.
Pia ni watu waaminifu sana!, hiwezi kusikia Msukuma ni mla rushwa au ni fisadi!.
P
We jamaa una fikra za kizamani sana umejaa ukabila na ukanda!!...Hii benki imepata mtu jembe.
Kiukweli hawa jamaa wa Kanda ile ni majembe kazi kweli kweli!.
P
Ila ni washamba wa mapenzi ,hivi huko mahakamani ndio shahidi upande wa serikali kwamba alidukuliwa akila tunda , huyu jamaa inabidi a step down Kwa kweli amezalilisha positionPia ni watu waaminifu sana!, huwezi kusikia Msukuma ni mdokozi, mla rushwa au ni fisadi!.
P
🤔Sita sahau siku amenitoa Mbezi beach mpaka stanbic hq kwenda mfanyia attestation kumaliza akanitoa na buku 5 ambayo niliamua kuigawa kwa ombaomba