Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
😄 unawaona hawa GENTAMYCINENimependa Kagame kupelekewa Deputy Director wa TISS kama Balozi kwaajili ya ku-monitor vihatarishi vya PK katika Ukanda wetu wa Afrika Mashariki na Kati na hasa Usalama wa Tanzania 👊
Naona unanitafutia ugomvi na Mtaalamu wa uchambuzi wa mambo ya kiusalama kutoka kwa PK 😜
😄 pk ngoma ngumuNaona unanitafutia ugomvi na Mtaalamu wa uchambuzi wa mambo ya kiusalama kutoka kwa PK 😜
Wakuu,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan siku ya leo amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali katika nyadhifa za serikali na bodi za kitaifa.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi huo ni kama ifuatavyo:
- Balozi Dkt. Habib Galsus Kambanga ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Rwanda.
- Dkt. Amina Suleiman Msengwa ameteuliwa kuwa Mtakwimu Mkuu wa Serikali. Kabla ya uteuzi huu, Dkt. Msengwa alikuwa Mhadhiri Mwandamizi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Anachukua nafasi ya Dkt. Albina Chuwa ambaye amemaliza muda wake.
- Jaji Dkt. Ntemi Nimiwila Kilekamajenga ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Masoko na Mitaji. Anachukua nafasi ya Jaji Dkt. Deo John Nangela, aliyechaguliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani.
- Prof. Aurelia Kamuzora ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Kahawa kwa kipindi cha pili.
- Bw. Abdulmajid Nsekela ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Chai Tanzania, akichukua nafasi ya Bw. Mustafa Hamis Umande ambaye amemaliza muda wake.
- Prof. Hozen Kahesi Mayaya ameteuliwa kuwa Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) kwa kipindi cha pili.
View attachment 3235512
Ila atanyooshwa na WaTz ndiyo maana amepelekewa mtaalamu wa uchambuzi wa taarifa, Data analyst kutokea Kijitonyama 😜😄 pk ngoma ngumu
Ova
KimeshukaHongera Nsekela kwa kupandishwa cheo
HahahaIla atanyooshwa na WaTz ndiyo maana amepelekewa mtaalamu wa uchambuzi wa taarifa, Data analyst kutokea Kijitonyama 😜
Huyu anaweza kurudishwa .Balozi Dr. Habib Gallus Kambanga
View attachment 3235520
Kambanga in 2017 during a SADC workshop on counter-terrorism in Tanzania
Before being appointed as a new ambassador, he was the Deputy Director General of Tanzanian Intelligence and Security Service (TISS).[2]
He went on to achieve his Bachelor of Arts In Political Science at Osmania University in Hyberabad, India from 1995-1998.[4] He went on to complete his postgraduate degree on Strategic Studies at University of Aberdeen in Scotland in 2004.[5]
Kambanga has also pursed many different courses that are based on counter-terrorism. He was awarded certificate on Threat Analysis and Counter Surveillance in Virginia, USA. In the December of 2023, he graduated from the Open University Of Tanzania (OUT) with a Doctor of Philosophy (Ph.D) in Political Science.[6]
Utumishi Uliotukuka / Distinguish career :
Career
From the years of 1992 up to 2000, Kambanga worked at the Tanzanian Intelligence and Security Service (TISS) as a Desk officer/Analyst located in Dar es Salaam, Tanzania. The following year he was promoted to become the Policy Analyst of TISS and for the next 5 years he worked as the Deputy head of Secretariat of the Directorate of Internal Operations of TISS.[3] In 1998 to 1999, Kambanga was chosen as the team leader from Tanzanian Intelligence and Security Service to work on the Al-Qaeda terrorist bombings on the United States embassy in Dar es Salaam, Tanzania from August 1998 - May 1999.[3]
In 2007, Kambanga and his family relocated to Gaborone, Botswana to work at the Southern African Development Community (SADC) Secretariat at the newly established Regional Early Warning Center as their Senior Analyst of Political and Security Threats. For the next 7 years under the Executive Secretaries Tomaz Salomão (2007–2013) and Stergomena Tax (2013–2014) In 2014, He was appointed as the new head of the Regional Early Warning Center (REWC) of the Southern African Development Community (SADC) under Stergomena Tax (2014–2021) and Elias Mpedi Magosi (2021–2022).[7]
In 2021, he had made various statements with the SADC[8][9] andUnited Nations about political security with the Southern parts of Africa.[10]
In 2023, Kambanga made the decision to leave the Southern African Development Community (SADC) to return back to Tanzania after serving almost 16 years in Botswana. When he returned, he was appointed by the President Samia Suluhu Hassan to become the Deputy Director General of Tanzanian Intelligence and Security Service (TISS)[2] in the December of 2023. On 15 June 2024, he was appointed to become an Ambassador.[11][12][13][14] After 8 days, he was sworn in by Samia Suluhu Hassan on 23 June 2024.[15]
Vipi kama akimkataa?Nimependa Kagame kupelekewa Deputy Director wa TISS kama Balozi kwaajili ya ku-monitor vihatarishi vya PK katika Ukanda wetu wa Afrika Mashariki na Kati na hasa Usalama wa Tanzania 👊
Kazi ya Bodi sio utekelezaji wa kazi za taasisi Kila siku bali ku-support utekelezaji Kwa kutoa ushauri wa namna bora ya kufanya kazi yaani kiujumla kushiriki kwenye maamuzi yaliyo nje ya uwezo wa taasisi aka kubariki mipango ya taasisi iliyojiwekea na huwa wanakutana kwa kipindi maalumu inaweza ikawa quarterly au pale wanapohitajikaVipi kuhush CRDB? Anaendelea? I am referring to Majid
Nimependa Kagame kupelekewa Deputy Director wa TISS kama Balozi kwaajili ya ku-monitor vihatarishi vya PK katika Ukanda wetu wa Afrika Mashariki na Kati na hasa Usalama wa Tanzania 👊
Hizo desh desh atavuka kweli mpakani...!Before being appointed as a new ambassador....
Huyu anaweza kurudishwa .
Mwamba sana huyuBalozi Dr. Habib Gallus Kambanga