Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Tuupe muda nafasi 🤗Angekua ni mtu wa kutishika hivyo asingekua anafanya yanayofanyika huko kwa Tshisekedi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuupe muda nafasi 🤗Angekua ni mtu wa kutishika hivyo asingekua anafanya yanayofanyika huko kwa Tshisekedi
Huyo Ntemi mbona ana jina lefu sana???Wakuu,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan siku ya leo amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali katika nyadhifa za serikali na bodi za kitaifa.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi huo ni kama ifuatavyo:
- Balozi Dkt. Habib Galsus Kambanga ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Rwanda.
- Dkt. Amina Suleiman Msengwa ameteuliwa kuwa Mtakwimu Mkuu wa Serikali. Kabla ya uteuzi huu, Dkt. Msengwa alikuwa Mhadhiri Mwandamizi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Anachukua nafasi ya Dkt. Albina Chuwa ambaye amemaliza muda wake.
- Jaji Dkt. Ntemi Nimiwila Kilekamajenga ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Masoko na Mitaji. Anachukua nafasi ya Jaji Dkt. Deo John Nangela, aliyechaguliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani.
- Prof. Aurelia Kamuzora ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Kahawa kwa kipindi cha pili.
- Bw. Abdulmajid Nsekela ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Chai Tanzania, akichukua nafasi ya Bw. Mustafa Hamis Umande ambaye amemaliza muda wake.
- Prof. Hozen Kahesi Mayaya ameteuliwa kuwa Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) kwa kipindi cha pili.
View attachment 3235512
Wavaa kobazi 🤔🤔🤔Huyu maza ni mdini sn, kateua karibu wote watu wa Ijumaa
Huoni alijiamini hadi huku alikuja pamoja na Museveni ila jamaa wa Drc akala kona akahudhuria kwa video.....anaemuogopa mwenzie anajulikana......tena wasipokaa vizuri kule Drc yule rais anaweza asimalize muda wakeTuupe muda nafasi 🤗
Siasa za Ukanda wetu huu, PK amezishika aiseeHuoni alijiamini hadi huku alikuja pamoja na Museveni ila jamaa wa Drc akala kona akahudhuria kwa video.....anaemuogopa mwenzie anajulikana......tena wasipokaa vizuri kule Drc yule rais anaweza asimalize muda wake
Ile jamii ipo nchi nyingi na strategic za ukanda huu , Drc wapo, Burundi wapo,Uganda wapo , Tanzania wapo ndo maana hata kwenye intelijensia wapo vizuri...shida watu wanaiangalia ile nchi kwa mipaka ya kikoloni hapo ndo wanapojichanganyaSiasa za Ukanda wetu huu, PK amezishika aisee
Jamaa ni most powerful, uki-mess naye anakuondoa
Kulikuwa na habari za chini ya carpet kwamba yeye ndiyo alikuwa front Man Kwa yaliyowatokea marais wa DRC na Burundi respectively
Nyie watu wajinga sana,ni watu wenye chuki,wivu,husda na roho mbaya.Huyu maza ni mdini sn, kateua karibu wote watu wa Ijumaa
Nafikiri Sasa umefika wakati muafaka kabisa kwa Tanzania na Wananchi wa nchi hii kufanya TATHMINI YA KINA juu ya TIJA, FAIDA na HASARA ambayo Wananchi wengi zaidi wa Nchi hii wanayopata kutokana na hizi TEUZI za mara kwa Mara zinazofanywa na Mkuu wa nchi.Wakuu,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan siku ya leo amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali katika nyadhifa za serikali na bodi za kitaifa.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi huo ni kama ifuatavyo:
- Balozi Dkt. Habib Galsus Kambanga ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Rwanda.
- Dkt. Amina Suleiman Msengwa ameteuliwa kuwa Mtakwimu Mkuu wa Serikali. Kabla ya uteuzi huu, Dkt. Msengwa alikuwa Mhadhiri Mwandamizi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Anachukua nafasi ya Dkt. Albina Chuwa ambaye amemaliza muda wake.
- Jaji Dkt. Ntemi Nimiwila Kilekamajenga ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Masoko na Mitaji. Anachukua nafasi ya Jaji Dkt. Deo John Nangela, aliyechaguliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani.
- Prof. Aurelia Kamuzora ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Kahawa kwa kipindi cha pili.
- Bw. Abdulmajid Nsekela ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Chai Tanzania, akichukua nafasi ya Bw. Mustafa Hamis Umande ambaye amemaliza muda wake.
- Prof. Hozen Kahesi Mayaya ameteuliwa kuwa Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) kwa kipindi cha pili.
View attachment 3235512
Umesema sahihi, ni kama ilivyo Israel tu.Ile jamii ipo nchi nyingi na strategic za ukanda huu , Drc wapo, Burundi wapo,Uganda wapo , Tanzania wapo ndo maana hata kwenye intelijensia wapo vizuri...shida watu wanaiangalia ile nchi kwa mipaka ya kikoloni hapo ndo wanapojichanganya
Kwanini mkuu?Mnashida sana nyie!
Kwanini dada angu?Nyie watu wajinga sana,ni watu wenye chuki,wivu,husda na roho mbaya.
Na ni watu mnaoshindwa kuficha chuki zenu waziwazi.
Unawajua?Yaani hapo muislam mmoja,waliobakia wote wala nguruwe bado mnalalama