Uteuzi: Rais Samia amteua CEO wa CRDB Abdulmajid Nsekela kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chai, Habib Kambanga kuwa balozi wa Rwanda

Huyo Ntemi mbona ana jina lefu sana???
 
Tuupe muda nafasi 🤗
Huoni alijiamini hadi huku alikuja pamoja na Museveni ila jamaa wa Drc akala kona akahudhuria kwa video.....anaemuogopa mwenzie anajulikana......tena wasipokaa vizuri kule Drc yule rais anaweza asimalize muda wake
 
Siasa za Ukanda wetu huu, PK amezishika aisee

Jamaa ni most powerful, uki-mess naye anakuondoa

Kulikuwa na habari za chini ya carpet kwamba yeye ndiyo alikuwa front Man Kwa yaliyowatokea marais wa DRC na Burundi respectively
 
Ile jamii ipo nchi nyingi na strategic za ukanda huu , Drc wapo, Burundi wapo,Uganda wapo , Tanzania wapo ndo maana hata kwenye intelijensia wapo vizuri...shida watu wanaiangalia ile nchi kwa mipaka ya kikoloni hapo ndo wanapojichanganya
 
Nafikiri Sasa umefika wakati muafaka kabisa kwa Tanzania na Wananchi wa nchi hii kufanya TATHMINI YA KINA juu ya TIJA, FAIDA na HASARA ambayo Wananchi wengi zaidi wa Nchi hii wanayopata kutokana na hizi TEUZI za mara kwa Mara zinazofanywa na Mkuu wa nchi.
Teuzi ni nyingi sana kupita kiasi, Je, hizi Teuzi zina maslahi gani yaliyo mapana zaidi kwa Wananchi wengi zaidi wa Nchi hii?
Upembuzi Yakinifu wa kina unapaswa kufanyika ili kujua Hasara halisi na Faida halisi zitokanazo na TEUZI hizi za mara kwa mara
 
Ile jamii ipo nchi nyingi na strategic za ukanda huu , Drc wapo, Burundi wapo,Uganda wapo , Tanzania wapo ndo maana hata kwenye intelijensia wapo vizuri...shida watu wanaiangalia ile nchi kwa mipaka ya kikoloni hapo ndo wanapojichanganya
Umesema sahihi, ni kama ilivyo Israel tu.

Ni Nchi ndogo kwa mipaka ila ni wengi kwa idadi ya watu, ndiyo maana wametapakaa Marekani kule
 
Unachohitaji ni kumpamba kishamba tu na ‘Samia Bond’ kama walivyomfanyia CRDB. Wakati wanazungusha hela za serikali. Akitoka hapo anakuona wa maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…