Baraka Mina
JF-Expert Member
- Sep 3, 2020
- 586
- 590
Kabla ya uteuzi huo Hassan alikuwa Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyigesa ApeweAnayumba sana huyu mama kipi kinamfanya anashindwa kumpatia uIGP lile liporisi lililoonekana likiulilia mbele ya camera
Apatiwe uIGP au matako ya IGPNyigesa Apewe
😆😃😀Mwamba Katisha Yaani Nyigesa Nyoko SanaWankyo Nyegesa is our new IGP in town..muda ni rafiki mzuri let's wait and see!
Naota wajameni [emoji16][emoji38][emoji28]
🤣😅😂😆😁😄😃😀Apatiwe uIGP au matako ya IGP
Hassan Ali Hassan Mtoto wa mzee Mwinyi.View attachment 2168615
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua ACI. Hassan Ali Hassan kuwa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, amechukua nafasi ya Kamishna Johari Masoud Sururu ambaye atapangiwa majukumu mengine.
Kabla ya uteuzi huo Hassan alikuwa Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Kaskazini Pemba.
View attachment 2168602
Huoni wanafanana na kaka ake?Hassan Ali Hassan Mtoto wa mzee Mwinyi.
Maza mdini sn na mkanda, Pwani kateua mawaziri 5 kutoka mkoa mmojaUteuzi: Mcha Hassan Mcha ateuliwa kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa TRA
Mwaka waoUteuzi: Yusuf Juma Mwenda ateuliwa kuwa Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar