UTEUZI: Rais Samia amteua Hassan Ali Hassan kuwa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar

Baraka Mina

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2020
Posts
586
Reaction score
590
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua ACI. Hassan Ali Hassan kuwa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, amechukua nafasi ya Kamishna Johari Masoud Sururu ambaye atapangiwa majukumu mengine.

Kabla ya uteuzi huo Hassan alikuwa Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Kaskazini Pemba.
 
Uhamiaji Pemba mpaka Zanzibar Jamhuri ya Muungano Tanzania ni suala la muungano.

Johari kafanya nini lakini!?
 
Wankyo Nyegesa is our new IGP in town..muda ni rafiki mzuri let's wait and see!

Naota wajameni
 
Hawa wasaidizi wa rais vipi? Kila siku nawanunulia beer lakini sioni Kama faili langu wanalipeleka wakati wa teuzi.

Mimi siutaki u IGP Ila hata mwambata wa uchumi kwenye balozi zetu au hata ukuu wa wilaya mkoa wa Dar au Tanga.
 
Bado Pondamali kupata kazi aliyoiomba kupitia singeli/mchiriku.
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…