Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

Mbumbumbu Fc, Polepole ana jeuri ya kuacha ugali?
 
Kuuliza si ujinga,pole pole ataendelea kulipwa mshahara wa Ubunge au ndiyo kwa heli Ubunge.
Polepole ubunge wake ulishakoma tangu alipoteuliwa kuwa balozi, nafasi yake imeshajazwa na Shamsi Vuai Nahodha.
 
Ni mikakati ya kisiasa inayotazama mbali. Pole pole kanyamazishwa rasmi hawezi tena kuwa sehemu ya yoyote yule atakayekuwa nyuma ya kundi la hayati JPM atakayekuja kutaka kuwania urais.

SSH anafanikiwa kutengeneza mazingira ya kuwa mgombea pekee wa ndani ya CCM. Ukizingatia 2025 atakuwa katikati ya safari, ajipange kutimiza ahadi zote za wakati wa kampeni ya 2020 njia naiona ni nyeupe, mengine ni maamuzi ya Mungu.
 
Hii tanzania hii aiseee.
Yaani ni wale wale unatoka ofisi hii unaingia ile, hakuna wapya hakuna mapya.

Unakunya huku wanazoa unapelekwa pale ukanye teena.

Sasa kweli leo hii.
Mangu.
Polepole
Vuai.

Dah
Kwa hiyo saivi anaenda kutembelea V8...???

Chezea V8 wewe...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wasomi wajiulize kulikoni teuzi ni zile zile tu.
 
Hii tanzania hii aiseee.
Yaani ni wale wale unatoka ofisi hii unaingia ile, hakuna wapya hakuna mapya.

Unakunya huku wanazoa unapelekwa pale ukanye teena.

Sasa kweli leo hii.
Mangu.
Polepole
Vuai.

Dah
Mkuu ebu nijuzeni! Hivi vyeo vya Wenyeviti wa Bodi zetu za Makampuni ya UMAA ni kwa ajili ya Waasitaafu? Ndivyo ilivyo kwa mujibu wa KATIBA YETU?
 
Hivi, aliyekuwa balozi wa Malawi kabla ya Polepole alikuwa ni nani? Na amepelekwa wapi ili kumpisha Polepole? Barua haijasema ni nini kimemkuta balozi anayempisha Polepole
 
Nehemia Mchechu NHC tena? Ni sababu zipi zilipelekea kutumbuliwa? Hazikuwa genuine?Hivi hakuna watanzania wengine?
Ni mafisadi wanatutukana na kuutukana uadilifu mbele ya juala mchana,
Kuonyesha hasira zao.....
Hata hili la kiteuliwa polepole karibu na kumbukizi ya JPM bado pia ni ujumbe kwa wanaoelewa,
 
Nehemia Mchechu NHC tena? Ni sababu zipi zilipelekea kutumbuliwa? Hazikuwa genuine?Hivi hakuna watanzania wengine?
Ila jamaa enzi zake shirika lilikuwa hot sana kila sehemu ukienda ni nhc
 
Hivi, aliyekuwa balozi wa Malawi kabla ya Polepole alikuwa ni nani? Na amepelekwa wapi ili kumpisha Polepole? Barua haijasema ni nini kimemkuta balozi anayempisha Polepole
Alishastaafu pamoja na akina Emmanuel Nchimbi na Dr Slaa mwishoni mwa mwakajana.
 
Safi sana mama tumecheleweshwa mno kama taifa kanyaga twende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…