Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

Samia aangalie sura mpya.
Huyo pole pole ana ubunge inatosha.
Atajigawa vipi?
Unaota wakati saa hizi kumeshakucha, Polepole ndio ameshang'olewa ubunge nafasi yake kapewa Shamsi Vuai Nahodha.

Mjengoni Polepole ndio byebye, hii inaitwa smile killing, kama mamba vile anakutafuna huku machozi yanamtoka.
 
Sasa happy pole pole kapungukiwa Nini?au kaongezewa Nini?

Muulize Makonda kwa nini aliacha ukuu wa mkoa ili awe mbunge au ukishindwa muulize Mrisho Gambo.

Au ukiweza muulize Dr Slaa ubalozi unalipa? Halafu ubalozi wenyewe Malawi? Mshahara unatoka Dar es salaam.

Hapo ndio Polepole mwenda ameshaumaliza rasmi, 2025 anawekwa rasmi nje ya mfumo ndio atajuwa kuwa alikuwa hajui.
 
Haujajibu swali.
Pole pole kaongezewa Nini au kapungukiwa Nini?
Yaani kuna faida kwake au hasara kutoka ubunge Hadi ubalozi?

Akili zako ni level za Instagram kama huelewi ubunge ni bora kimaslahi na kisiasa.
 
Amemsogeza kwenye utumbuaji... Dah mabalozi wenywew wanapenda ubunnge kuliko kukaa huko tu bila Kazi.. hTa maslah ubunnge unamaslah makubwa. Naona kapita njia ya JPM kumtoa kwenye ubunnge kidizain.. gut ya kukataa hana Kwa kweli
 
Bado haujajibu swali.
Weka maslahi ya mbunge na maslahi ya balozi.ili tuone Kama kala au kaliwa
Akili zako ni level za Instagram kama huelewi ubunge ni bora kimaslahi na kisiasa.
 
kutumbuliwa inatokana na ufanyaji kazi wake vipi akipiga kazi akaendelea kuwa balozi .?na usije ukashangaa akapewa ubalozi hata huko duniani.
Sioni alichopoteza
Amemsogeza kwenye utumbuaji... Dah mabalozi wenywew wanapenda ubunnge kuliko kukaa huko tu bila Kazi.. hTa maslah ubunnge unamaslah makubwa. Naona kapita njia ya JPM kumtoa kwenye ubunnge kidizain.. gut ya kukataa hana Kwa kweli
 
At last
Ukitaka cheo jitoe ufahamu
Ya kusifia alikuwa yuleeeee
Hujui siasa wewe. Nakusihi tulia.

Ila wacha nikufunde kidogo. Kisiasa Polepole kapotezwa, sasa hawezi tena endelea na shule ya uongozi. Wala hawezi tena kukosoa.
 
Kuteuliwa na Mkuu Wa Nchi kumuwakilisha kama Balozi ni heshima kubwa, inawezekana isiwe nafasi kubwa kwako lakini inaonyesha imani kubwa aliyo nayo Rais kwako...
ubarozi ndio nini? Paragrafu ya mwisho umeandika pigs kazi, ulimaanisha piga kazi au? Adabu itamalaki we dogo!! [emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
POLEPOLE KUWA BALOZI MALAWI…usiende.
Ukienda unafanyiwa kile alichofanyiwa Dr Emmanuel Nchimbi kupelekwa Brazil kuwa Balozi sasa anachunga mbuzi kule Goba Dar.
Anachungaje mbuzi kwani maisha yao hawana option nyingine zaidi ya teuzi?

Mbona ni msomi kwanini asitafute kazi nyingine? Au elimu yao wanasomea kozi za kuteuliwa tu?
 
Haujajibu swali.
Pole pole kaongezewa Nini au kapungukiwa Nini?
Yaani kuna faida kwake au hasara kutoka ubunge Hadi ubalozi?
Kumbe kweli jina lako si kejeli linasadifu uhalisia wako. Kwamba hauoni touti iliyopo duu!

Sasa ona tofauti utakayo "imiss" na itakayokuumiza wewe kama mfuasi wa Polepole,

1. Amekatwa mdomo wa kuropokaropoka ovyo na kundi "lile" litakosa kiongozi.
2. Amewekwa mbali na uwezkano wa kupata habari za ndani ya serikali.
3. Amewekwa sehemu ambayo ni rahisi kutumbuliwa kimyakimya na Wananchi wasiweze kushtuka na pengine waliowengi nje ya mitandao hawatajua.
4. Amepunguziwa kipato, maana ubunge una marupurupu mengi ya kikanuni kuliko ubalozi unaotegemea hisani ya Rais.

Lililo zuri ni kuwa amepewa heshima kubwa ya kuiwakilisha nchi itakayofunika hayo mengine yaliyotajwa hapo juu.
 
Ile kwenda Malwi ni lazima achanje chanjo ya Covid 99 au achanjiye huku au kulekule vinginevyo Malawi haiingii. akikataa basi aache kazi arudi kwenye uchungaji
 
Back
Top Bottom