mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Ni mtu na ana hekima. Anatumia akili zake. Mshukuruni ameteuliwa General. Wangekuwa wale waimba sifa za watu, mngejinyeaHapo wamasai kazi tunayo.
Lakini kwakua Mabeyo ni mfugaji mwenzetu labda atatuelewa.
Wanataka tuamini ule uzi kuwa wamemuondoa kwa makusudi..mtu hajapumzika hata mwezi mmoja??Hata haipendezi