heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Kuna Elimu flani hivi ya Uraia Watanzania wengi hawana. Mfano, hii ya kufahamu aina za kazi na utanyijaji wake.Hiyo sio full-time job!
Daah!! Kutoka Pasiansi hadi kusimamia bodi ya NCAA! Hata ingekuwa kutoka MWEKA au SUA. Jifunze namna aina ya kazi / utumishi ulivyo, la sivyo utabaki unashangaa kila siku.Afu kuna kijana yuko anasoma chuo cha wanyama pori pale pasiansi akitegemea makubwa hapana haiwezikani
Vijana wanapita vyuoni kusoma elimu ya juu tena Elimu kubwa lkn bado hawafahamu itifaki Wala aina ya kazi / majukumu. Kwa ufupi ni kama tunaenda kukua tu vyuoni. Badala yake ni kulalamika tu. Hivi graduate apewe nafasi ya kuongoza bodi ya Wakurugenzi??! DaahTatizo la ajira linahusishwa katika uteuzi kwann? Mtu anaandika vijana hawatapata ajira........
Hata Mabeyo kuna siku aliingia jeshini kama kijana aliyepata ajira mpya.
Mabeyo alipotoka ameshika Mkunda, naye aliingia hapo bila kuwa na cheo chochote, kazi yoyote na bila uzoefu wowote na leo kaachiwa nafasi.
Sasa hiyo nafasi alitakiwa apewe graduate au nini kilitakiwa ili kusiwe na malalamiko ya ajira? Huwezi kumpa mtu asiye na uzoefu na haaminiki nafasi nyeti. HAIWEZEKANI. Yaani kijana umetoka chuo cha misitu huko puuu wewe ni mkurugenzi mpya bodi ya utalii?
Kuna siku Mabeyo atampisha mwingine hiyo nafasi mpya aliyopewa, na huyo mwingine huenda sasa hivi anapata uzoefu wa kazi sehemu fulani baada ya kuajiriwa huko nyuma akiwa fresh bila uzoefu.
Kila wakati kuna vijana wapya wanaingia jeshini. Hao ni Macdf wajao, wakuu wa vikosi wajao na kuna siku watapewa nafasi za ukurugenzi, ubalozi n.k
HAKUNA UHUSIANO WA UKOSEFU WA AJIRA NA NAFASI ZA UTEUZI SABABU KILA CHEO KIPYA NI FURSA MPYA KWA MWINGINE KUPATA NAFASI ILIYOACHWA NA ALIYEPEWA CHEO KIPYA.
Kumbuka amestaafu akiwa na 66 yrs. Huo ni umri wa kuombwa kustaafu?Inawezekana,aliombwa ushauri,ili astaafu kwanza kisha apewe hilo jukumu lingine.kuna mambo nchi hii
Hahaha, kwamba wanaenda kukua tu.Vijana wanapita vyuoni kusoma elimu ya juu tena Elimu kubwa lkn bado hawafahamu itifaki Wala aina ya kazi / majukumu. Kwa ufupi ni kama tunaenda kukua tu vyuoni. Badala yake ni kulalamika tu. Hivi graduate apewe nafasi ya kuongoza bodi ya Wakurugenzi??! Daah