UTEUZI: Rais Samia amteua Mohamed Melick Salum kuwa Mkurugenzi Mkuu TASAC

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni
Mheshimiwa Rais amefanya uteuzi.
---
Rais Samia amemteua Mohamed Malick Salum kuwa Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC).

Kabla ya uteuzi huu
Salum alikuwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria, Wizara ya Uchukuzi.

Bw. Salum anachukua nafasi ya Bw. Kaimu Abdi Mkeyenge aliyeteuliwa
kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC).

Uteuzi huu unaanza tarehe 14 Novemba, 2023.



Pia, soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Mohamed Malick Salum kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC). Kabla ya uteuzi huu Bw. Salum alikuwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria, Wizara ya Uchukuzi.

Bw. Salum anachukua nafasi ya Bw. Kaimu Abdi Mkeyenge aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC).

Uteuzi huu unaanza tarehe 14 Novemba, 2023.

 
Yani Kobaaz wanalamba teuzi kwa fujo.

inamankusweke adriz Accumen Mo Ritz THE BIG SHOW
 
Rais Samia amemteua Mohamed Malick Salum kuwa Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC).

Mkurugenzi wa sheria wizara ya uchukuzi mwanasheria Mohamed Malick Salum aliyefanikisha DP World na serikali ya Tanzania kuingia katika makubaliano ya bandari. Sasa kuwa mkurugenzi mkuu wa TASAC atakuwa karibu katika sekta ya bandari na shipping .

Master’s of Science degree from the World Maritime University, Malmö Sweden. 2019. Degree : Master of Science in Maritime Affairs : Specialization:
Maritime Law & Policy.

WMU Sasakawa Fellows global network www.wmujapan.net Fellowship, Class of 2019
 
Amri kutoka dp world .. wamesema wanataka samaleko ndiyo wapewe nafasi kwenye mambo ya bandari [emoji40]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…