UTEUZI: Rais Samia amteua Mohamed Melick Salum kuwa Mkurugenzi Mkuu TASAC

UTEUZI: Rais Samia amteua Mohamed Melick Salum kuwa Mkurugenzi Mkuu TASAC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Mohamed Malick Salum kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC). Kabla ya uteuzi huu Bw. Salum alikuwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria, Wizara ya Uchukuzi.

Bw. Salum anachukua nafasi ya Bw. Kaimu Abdi Mkeyenge aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC).

Uteuzi huu unaanza tarehe 14 Novemba, 2023.

View attachment 2813860
all is rubbish
 
Wadau hamjamboni
Mheshimiwa Rais amefanya uteuzi.
---
Rais Samia amemteua Mohamed Malick Salum kuwa Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC).

Kabla ya uteuzi huu
Salum alikuwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria, Wizara ya Uchukuzi.

Bw. Salum anachukua nafasi ya Bw. Kaimu Abdi Mkeyenge aliyeteuliwa
kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC).

Uteuzi huu unaanza tarehe 14 Novemba, 2023.

View attachment 2813846
Kuswali Ijumaa raha sana!
 
Riz1, Ristan Aziz, Mo, Bakhresa, January Maka, JK, Kinana, GSM, Home shopping center the list is long. Yote hayo yamefilisi na yanaendelea kufilisi nchi. Mapapa makubwa ni maislam. Na biashara ya ngada waneishikilia
Haya ni majangili tupu
 
MMEJAZANA HUKO SERIKALINI WAGALTIA HAKUNA CHA MAANA MNACHOFANYA ZAIDI YA WIZI TUH,MFUMO KRISTO UMEWALEMAZA SANA WAGALATIA
Wenzenu tunasoma!! Ndio maana mama enu kwenye kapu la Bakwata na shura ya maimamu anaokoteza mpaka chuya na bado hapati inabidi arudi kwa wagalatia!

Wavaa kobazi mmekalia maulidi...kuhombania pilau...Liwati na mambo mengine ya kipuuzi mnaacha mambo ya msingi....
 

Attachments

  • Screenshot_20231110-122641.png
    Screenshot_20231110-122641.png
    67.7 KB · Views: 5
Back
Top Bottom