UTEUZI: Rais Samia ateua Balozi mmoja na kumhamisha Humphrey Polepole kuwa Balozi nchini Cuba

Suala la kuteuliwa umelileta mwenyewe hivyo baba matokeo yake.

Kubali kwamba Magufuli mliyembia hayuko tena sasa kuna Samia.
Basi kumbe hata hujui maana ya space-time; acha kubishana na watu wenye kujua facts za nature duniani.
 
Humphrey si alikwenda cuba muda mrefu tu, sasa hii imekaaje? johnthebaptist
 
Lengo ni kumteuwa huyo Mzanzibar hakuna lolote la maana

Hapo watasingizia ile misaada ilitumwa Malawi na Uturuki kuwa haukusimamiwa vyema

USSR
Kwani hawapaswi kuteuliwa, au katiba yetu inasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…